BIASHARA Zawadi kukumwagikia kila mzunguko na Meridianbet Holiday Drops December 13, 2025 Erasto Masalu Msimu wa shangwe na ukarimu umefika, na Meridianbet inauinua kwa kukuletea Holiday Drops – Christmas Edition. Hili ni tukio maalum la sikukuu linaloongeza ladha ya msimu kwa zawadi zinazojitokeza papo…
HABARI MCHANGANYIKO MAKALA & UCHAMBUZI TANGULIZI Jiji kubwa, changamoto kubwa: Uhaba wa maji waitesa Dar December 13, 2025 Erasto Masalu NI alfajiri jijini Dar es Salaam, lakini badala ya kelele za magari na harakati za kazi, sauti inayotawala katika baadhi ya mitaa ni ndoo zikigongana na harakati za kusaka tone…
SIASA TANGULIZI Uhusiano na ACT-Wazalendo, bado uko imara – Mpina December 13, 2025 Erasto Masalu LUHAGA Joelson Mpina, amekanusha taarifa kuwa uhusiano wake na chama chake cha ACT-Wazalendo, umekuwa mashakani. Anaripoti Faki Sosi, Dar es Salaam … (endelea). “Hakuna kitu kama hicho. Uhusiano wangu na…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA TANGULIZI Rais Samia aongoza waombolezaji ibada ya mazishi ya Jenesta December 13, 2025 Erasto Masalu RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amewaongoza waombolezaji kushiriki ibada ya mazishi ya mbunge wa Peramiho (CCM) Jenista Mhagama. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Ibada…
HABARI ZA MICHEZO Piga mkwanja na Meridianbet leo December 13, 2025 Erasto Masalu Je unajua kuwa siku ya leo unaweza ukapiga mkwanja wa uhakika na Meridianbet?. Mechi kibao kuendelea huku nafasi ya wewe kuondoka na mzigo wa kutosha ikiwa wazi kabisa. Usisubiri kuhadithiwa,…
HABARI MCHANGANYIKO Dawasa yawapa matumaini wakazi wa Dar suala la maji December 12, 2025 Erasto Masalu WAKATI wakazi wa jiji la Dar es Salaam wakilalamika shida ya maji, afisa mtendaji mkuu wa mamlaka ya majisafi na usafi wa mazingira Dar es Salaam (DAWASA) Mhandisi Mkama Bwire,…
HABARI ZA MICHEZO Ijumaa ya kibingwa imefika ndani ya Meridianbet December 12, 2025 Erasto Masalu Siku ya leo unaweza kuanza Wikendi yako vyema kabisa kwa kubashiri mechi zote hapa na Meridianbet. ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000 yapo kwaajili yako leo. LALIGA kutakuwa na…
BIASHARA Meridianbet yaleta upekee mpya, Dunia ya Kalamba Games yafunguliwa rasmi December 12, 2025 Erasto Masalu Kuna michezo ambayo unacheza, kisha kuna michezo ambayo inakuingia. Utofauti huo sasa unapatikana Meridianbet baada ya kuipokea rasmi Kalamba Games, studio inayosifika kwa ubora unaovuka viwango vya kawaida kwenye uandaaji…
HABARI MCHANGANYIKO MAKALA & UCHAMBUZI SIASA TANGULIZI GEN Z ni kina nani, mbona mnatutesa hivi? December 12, 2025 Erasto Masalu GEN Z, GEN Z, GEN Z, ninawaita mara tatu kama vile Petro alivyomkana Bwana Yesu Kristo kabla ya jogoo halijawika. Kwa nini mnatutesa hivi? Anaandika Zakia Nanga, Dar es Salaam…
HABARI MCHANGANYIKO Jenesta Mhagama kuzikwa desemba 16, Mbinga December 12, 2025 Erasto Masalu MWILI wa aliyekuwa Mbunge wa Peramiho (CCM), Jenista Mhagama unatarajiwa kuzikwa Jumanne ya 16 Desemba 2025 katika Kijiji cha Ruanda, Mbinga mkoani Ruvuma. Anaripoti Zakia Nanga, Dar es Salaam ……