BIASHARA Asahi Group kununua hisa za Diageo katika EABL December 17, 2025 Erasto Masalu KAMPUNI ya East African Breweries PLC (EABL) imetangaza kuwa kampuni ya Diageo imekubali kuuza hisa zake zote za EABL na umiliki wake katika kampuni ya vinywaji vikali ya UDV (Kenya)…
HABARI MCHANGANYIKO KIMATAIFA TANGULIZI Tanzania yawekewa vikwazo vipya Marekani December 17, 2025 Erasto Masalu SERIKALI ya Marekani, imepiga marufuku ya usafiri dhidi ya raia wa Tanzania. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Taarifa ya Ikulu ya Marekani, iliyotolewa leo Jumatano, tarehe 17…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA Makamu wa Rais aongoza mazishi ya Jenista Mhagama December 16, 2025 Erasto Masalu MAKAMU wa Rais wa Tanzania Emmanuel Nchimbi amewaongoza waombolezaji kwenye Mazishi ya aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Peramiho, Marehemu Jenista Mhagama, yaliyofanyika katika Kijiji cha Ruanda Wilaya ya Mbinga mkoani…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA TANGULIZI Utawala wa sheria ndani ya kiza kinene December 16, 2025 Erasto Masalu MATUKIO ya wananchi kutekwa, kuteswa na kutoweka yanayodaiwa kufanywa na serikali na “watu wasiojulikana,” yanazidi kuiweka njiapanda serikali. Anaandika Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Serikali ndiyo yenye jukumu…
HABARI ZA MICHEZO Nani kuondoka na EPL 2025/26 December 16, 2025 Erasto Masalu Huku EPL ikizidi kuwaka moto, ndipo na wewe unapata nafasi nzuri ya kupata mkwanja wako na Meridianbet leo. Mechi kibao zikiendelea kupigwa andaa jamvi lako la ushindi na ubashiri na…
BIASHARA Cheza michezo ya Wazdan, ondoka na kitita cha Mystery Multiplier December 16, 2025 Erasto Masalu Unajua hisia ya kila mzunguko unaoufanya kukulipa? Meridianbet inakuleta Mystery Multiplier, promosheni ambayo hubadilisha kila dau kuwa fursa ya kushinda mara 10 hadi 250 ya thamani yake. Hapa, kila mzunguko…
HABARI MCHANGANYIKO TANGULIZI Mwambe, IJP, Muliro kuumana mahakamani leo December 15, 2025 Erasto Masalu MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, leo Jumatatu, tarehe 15 Desemba 2025, inatarajiwa kusikiliza kesi iliyofunguliwa na Geoffrey Mwambe, waziri wa zamani katika serikali ya John Magufuli…
HABARI ZA MICHEZO Chukua mshiko wako na Meridianbet leo December 15, 2025 Erasto Masalu Ni siku nyingine ya kujishindia mkwanja na Meridianbet ambapo timu kibao zipo uwanjani kuhakikisha huondoki mikono mitupu. ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000 yapo hapa. Unangoja nini sasa?. Suka…
BIASHARA Tvbet ndani ya Meridianbet na uzoefu wa michezo ya kweli kwa wachezaji wa leo December 15, 2025 Erasto Masalu Dunia ya michezo ya mtandaoni imebadilika, na Meridianbet imehakikisha haubaki nyuma. Kupitia TVBET, wachezaji sasa wanapata burudani ambayo haikai nyuma ya skrini tu, inaishi, na inakuhusisha moja kwa moja katika…
HABARI ZA MICHEZO Ushindi upo nje nje siku ya leo na Meridianbet December 14, 2025 Erasto Masalu Wakali wa ubashiri Tanzania, Meridianbet wanakwambia kuwa Wikendi hii ipo kwaajaili ya kuhakikisha hawakuachi patupu. ODDS KUBWA zipo kwenye mechi za leo hivyo bashiri sasa. Ligi kuu ya Uingereza, EPL…