HABARI MCHANGANYIKO SIASA Jaji Mkuu kuziamua kesi za uchaguzi Zbar December 18, 2025 Erasto Masalu MAJALADA 17 yanayohusu mashauri ya kupinga matokeo ya uchaguzi ya uwakilishi upande wa Unguja sasa yanamsubiri Jaji Mkuu wa Zanzibar ambaye ndiye wa kuyapangia majaji wa kuzisikiliza kesi mahkamani. Anaripoti…
HABARI MCHANGANYIKO TANGULIZI Njama za kumlipa Singasinga zafichuka December 18, 2025 Erasto Masalu MRADI wa kukwapua mabilioni ya shilingi za walipa kodi, kwa kisingizio cha kumlipa Harbinder Singh Sethi (Singasinga), sasa unakaribia kuiva, imefahamika. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Anayejiita…
HABARI ZA MICHEZO Nafasi ya ushindi unayo ndani ya Meridianbet leo December 18, 2025 Erasto Masalu Kama kawaida Michuano ya Conference League Ulaya inaendelea na wewe ukiwa na Meridianbet ni rahisi sana wewe kupiga pesa zako hapa kwani mechi kibao zenye machaguo zaidi ya 1000 zinaendelea.…
BIASHARA Likizo ya ushindi inakukaribisha Meridianbet kupitia Sweet Holiday Chase December 18, 2025 Erasto Masalu Msimu wa sikukuu umepata mwendo mpya baada ya Meridianbet kuzindua Sweet Holiday Chase, promosheni inayokuletea furaha na ushindi wa haraka. Kila mzunguko ni hatua moja kwenye safari kuelekea hazina ya…
BIASHARA Airtel Africa, SpaceX waingia ubia kuunganisha Satelaiti kwa simu Afrika December 18, 2025 Erasto Masalu AIRTEL Africa leo imetangaza rasmi kushirikiana kimkakati na kampuni ya SpaceX kwa ajili ya kuunganisha huduma ya satelite moja kwa moja katika simu Janja (Starlink Direct to Cell) katika nchi…
HABARI MCHANGANYIKO KESI YA UNUNGE Z”BAR. Wakili aibana Serikali December 18, 2025 Erasto Masalu OMAR Said Shaban, wakili wa Mahakama Kuu ya Zanzibar, ameibua pingamizi zito la kisheria akipinga mawakili kutoka Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) kushiriki katika kusimamia…
HABARI ZA MICHEZO Kamati ya maboresho ya TASWA yakamilisha jukumu lake December 17, 2025 Erasto Masalu KAMATI Maalumu iliyoundwa kwa ajili ya Kuandaa Mabadiliko ya Mfumo wa Uendeshaji wa Chama Cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA) imekamilisha jukumu hilo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es…
MAKALA & UCHAMBUZI SIASA Mwelekeo wa Chaumma ni upi? December 17, 2025 Erasto Masalu MWELEKEO wa sasa wa chama cha ukombozi wa umma (CHAUMMA), bado umebaki kuwa ule ule wa kabla na baada ya uchaguzi mkuu wa 29 Oktoba. Anaandika George Kabadi, Dar es…
HABARI ZA MICHEZO Je, Liverpool ataishia nafasi ipi msimu huu? December 17, 2025 Erasto Masalu Msimu huu wa EPL wa 2025/26 umeanza vibaya kwa bingwa mtetezi Liverpool baada ya kuwa na matokeo ambayo hayaridhishi huku bado watu wakijiuliza kama anaweza kutetea taji lake msimu huu.…
BIASHARA HABARI MCHANGANYIKO Tabasamu jipya kutoka Meridianbet kwa wanakinondoni msimu wa Sikukuu December 17, 2025 Erasto Masalu Katika kipindi hiki ambacho Sikukuu ya Krismasi inakuja na changamoto mpya za kiuchumi kwa familia nyingi, Meridianbet imechagua kuchukua nafasi ya kuwa sehemu ya suluhisho. Kampuni hiyo inayoongoza katika michezo…