HABARI MCHANGANYIKO NFRA yaja na mfumo wa kidijitali kurahisisha ununuzi wa nafaka kwa wakulima August 11, 2024 Erasto Masalu WAKALA wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) umesema umejipanga kuimarisha vituo vya manunuzi ya nafaka nchini kwa kutumia mfumo mpya wa kidijitali ili kurahisisha manunuzi kutoka kwa wakulima na…
HABARI MCHANGANYIKO Kongamano la kimataifa la Halal kufanyika Dar wiki ijayo August 10, 2024 Erasto Masalu KAMPUNI ya MICO International Halal Bureau Limited, imeandaa kongamano la biashara na wadau wa Hahal litakalofanyika siku ya Jumatano jijini Dar es Salaam. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam ……
HABARI MCHANGANYIKO Wawili mbaroni kwa mauaji ya bodaboda August 9, 2024 Erasto Masalu JESHI la Polisi mkoa wa Katavi limewakamata watuhumiwa wawili wa mauaji ya dereva bodaboda ambaye anadaiwa kuchomwa na kitu chenye ncha kali ubavu wa kushoto na mwili wake kutelekezwa barabarani…
HABARI MCHANGANYIKO TANGULIZI Polisi waibuka kutokewa kwa kijana aliyechoma picha ya rais August 9, 2024 Erasto Masalu HATIMAYE Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limeibuka na kutoa wito kwa mtu yeyote mwenye taarifa za mahali alipo kijana Shadrack Chaula (24) Mkazi wa Kijiji cha Ntokela Wilayani Rungwe…
HABARI MCHANGANYIKO Wakulima waathiriwa mvua ya mawe wapata fidia ya mil. 354 kutoka NBC August 9, 2024 Erasto Masalu Rais Samia Suluhu Hassan amekabidhi hundi yenye thamani ya Sh 354 milioni iliyotolewa na Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) ikiwa ni fidia kwa wakulima wa zao la tumbaku walioathirika…
HABARI MCHANGANYIKO Serikali yaanza mpango wa kurasimisha upya wamachinga August 8, 2024 Erasto Masalu Serikali imesema inatarajia kuanzisha mfumo utakaowawezesha wafanyabiashara wasio rasmi kutambuliwa ili kuongeza wigo wa ukusanyaji wa mapato ya kodi kwa maendeleo ya nchi. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam ……
HABARI MCHANGANYIKO TCB yataja mikakati kuendana na mageuzi ujio wa SGR August 8, 2024 Erasto Masalu KATIKA kuwa sehemu ya mradi wa reli ya kisasa (SGR), Benki ya TCB imeeleza kujivunia kuwa benki mdau namba moja katika mradi huo wa kimageuzi kwa kuwezesha mchakato wa kuagiza…
HABARI MCHANGANYIKO NFRA kununua tani milioni 1.7 za nafaka August 8, 2024 Erasto Masalu WAKALA wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) umesema kuwa umepanga kununua tani 1,750,000 za nafaka mbalimbali kutoka kwa wakulima nchini kwa ajili ya mauzo ya ndani na nje ya…
HABARI MCHANGANYIKO Mtoto alijeruhiwa shingo na house girl aruhusiwa August 7, 2024 Erasto Masalu MTOTO Maliki Hashimu, mkazi wa Goba Jijini Dar es Salaam, aliyekuwa akitibiwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kutokana na majeraha makubwa aliyopata baada ya kukatwa na kitu chenye ncha…
HABARI MCHANGANYIKO TANGULIZI Aliyemzushia kifo binti aliyebakwa adakwa August 7, 2024 Erasto Masalu JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limemkamata na linamuhoji Amos Lutakulemberwa Lwizamiaka 54 mkazi wa Tegeta Wazo Kinondoni kwa tuhuma za kusambaza taarifa za uongo kwenye mitandao…