HABARI MCHANGANYIKO Shangwe Ziwa Tanganyika likifunguliwa August 16, 2024 Erasto Masalu WAZIRI wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega amezindua zoezi la uvuvi katika Ziwa Tanganyika baada ya kupumzishwa kwa shughuli za uvuvi katika ziwa hilo kwa miezi mitatu. Anaripoti Mwandishi Wetu,…
HABARI MCHANGANYIKO Ombi la wakili wa utetezi kesi ya wanandoa kujeruhi lagonga mwamba August 15, 2024 Erasto Masalu Na MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam imekataa ombi la wanandoa Bharat Nathwan (57) na Sangita Bharat (54) la kutaka shahidi Kiran Ratilal awasilishe kipande kifupi cha video…
HABARI MCHANGANYIKO EACOP kuziinua kiuchumi kaya zilizoguswa na mradi bomba la mafuta August 15, 2024 Erasto Masalu MRADI wa bomba la kusafirisha Mafuta Ghafi la Afrika ya Mashariki (EACOP) umeanzisha programu ya kuzisaidia kaya ambazo ardhi yao limepita bomba la mradi huu. Lengo la programu hii ni…
HABARI MCHANGANYIKO Soko la bidhaa za Halal lazidi kupanuka duniani August 14, 2024 Erasto Masalu UKUBWA wa soko la bidhaa za Halal duniani umeendelea kuongezeka kutoka Dola trilioni 1.2 miaka 10 iliyopita hadi kufikia dola trilioni 2.29 mwaka jana. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam…
HABARI MCHANGANYIKO RITA yasajili na kutoa vyeti kwa watoto milioni 10 August 14, 2024 Erasto Masalu WAKALA wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA) umesajili zaidi ya watoto milioni 10 kutoka mikoa yote ya Tanzania Bara, idadi ambayo ni sawa na asilimia 68 ya watoto waliopewa vyeti…
BIASHARA HABARI MCHANGANYIKO GGML waanza kutumia umeme wa gridi, kupunguza gharama kwa 92% August 14, 2024 Erasto Masalu Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amezindua kituo cha kupokea na kupoza umeme katika Mgodi wa Dhahabu wa Geita (Geita Gold Mining Limited- GGML) chenye uwezo…
HABARI MCHANGANYIKO TPA yatoa mil. 260 ukarabati, ununuzi vifaa tiba hospitali ya Temeke August 13, 2024 Erasto Masalu MAMLAKA ya usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imetoa zaidi ya Sh 260 milioni kwa ajili ya maboresho na ukarabati wa jengo la usafishaji damu kwa wagonjwa wa figo katika Hospitali…
HABARI MCHANGANYIKO TCCIA yataka wadau washiriki mkutano wa Halal kesho August 13, 2024 Erasto Masalu CHEMBA ya Wafanyabiashara, Viwanda na Kilimo (TCCIA), kimetoa wito kwa wafanyabiashara kote nchini kushiriki mkutano utakaotoa elimu ya bure kuhusu namna ya kupata cheti cha Halal kwenye bidhaa zao. Anaripoti…
HABARI MCHANGANYIKO Polisi: Hatujapiga marufuku mikutano ya hadhara August 12, 2024 Erasto Masalu JESHI la Polisi limesema halijapiga marufuku kufanyika mikutano ya nje ya hadhara na ile ya ndani ili mradi inafuata matakwa ya sheria za nchi. Anaripoti Matilda Peter, Dar es Salaam…
HABARI MCHANGANYIKO Dk. Kusiluka aanika mikakati ya vijana kushiriki uchumi kidijitali August 12, 2024 Erasto Masalu SERIKALI ya Tanzania imedhamiria kuhahakikisha Mkakati wa Uchumi wa Kidijiti Tanzania (2024-2034) unapotekelezwa vijana wengi wa Tanzania wanaingia kwenye mifumo ya kidijitali ili wawe sehemu ya uchumi wa dunia wa…