Wednesday , 24 April 2024

Habari Mchanganyiko

Habari Mchanganyiko

Kurejeshwa VAT taulo za kike kwakera wadau

HATUA ya serikali kurudisha kodi ya ongezeko la thamani (VAT) kwenye taulo za kike, kimewachukiza wanawake wengi. Anaripoti Hamis Mguta … (endelea). Akizungumza wakati...

Habari MchanganyikoMichezo

Masikini Wema! Atupwa mahabusu

WEMA Sepetu, mwigizaji na msanii maarufu wa filamu nchini, amejisalimisha na kutupwa mahabusu baada ya Mahakama ya Kisutu, jijini Dar es Salaam kuagiza...

Habari Mchanganyiko

NBC yapata tuzo ya utendaji bora

IMEELEZWA kuwa Benki ya NBC ni benki ya tatu kwa ukubwa nchini Tanzania, hivyo wametunukiwa tuzo ya Utendaji Bora wa sekta ya benki...

Habari Mchanganyiko

Mkurugenzi Dodoma amaliza mgogoro wa ardhi wa miaka 20

MKURUGENZI wa Jiji la Dodoma, Godwin Kunambi amemaliza mgogoro wa ardhi uliodumu kwa zaidi ya miaka 20 kwa wakazi eneo la C Centre...

Habari Mchanganyiko

Fuvu la Zinjanthropus kutowekwa hadharani

DAKTARI Hamis Kigwangalla, Waziri wa Maliasili na Utalii amesitisha mpango wake wa kupeleka fuvu la mtu wa kale katika Makumbusho ya Olduvai, Ngorongoro...

Habari Mchanganyiko

Tozo 15 Mifugo na Uvuvi zafutwa

SERIKALI imefuta tozo 15 katika Wizara ya Mifugo na Uvuvi, ikiwa ni hatua ya kuboresha sekta hiyo na kuondoa vikwazo walivyokuwa wakikumbana navyo...

Habari Mchanganyiko

Bajeti 2019/20: Ada leseni za udereva, usajili magari wapanda

SERIKALI ya Tanzania imependekeza kupanda kwa ada ya leseni ya udereva kutoka Sh. 40,000 za sasa, mpaka Sh. 70,000 kwa Mwaka wa Fedha...

Habari Mchanganyiko

Mapato ATCL yaongezeka

MAPATO ya Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL), yameongezeka kutoka Sh. 11.7 Bilioni mwaka 2015/16 hadi Sh. 45.5mwaka 2018/19. Anaripoti Bupe Mwakiteleko … (endelea)....

Habari Mchanganyiko

Wanakijiji wachanga Mil 20 kujenga madarasa

JUMLA ya Sh. 20 milioni zimetenwa na wanakijiji wa kijiji cha Mlilingwa, Ngerengere mkoa wa  Morogoro walizokusanya kutokana na mapato ya mkaa endelevu...

Habari Mchanganyiko

Tanesco Mwanza lapongeza wafanyabiashara

SHIRIKA la Umeme Tanzania (Tanesco), Kanda ya Ziwa limeeleza kuwa, wafanyabiashara wakubwa ni miongoni mwa watu wanaongoza kulipa bili ya umeme kwa asilimia...

Habari Mchanganyiko

Sheria Maudhui ya Mtandao kukatiwa rufaa

MAHAKAMA Kuu, Kanda ya Mtwara leo tarehe 12 Juni 2019, imetoa kibali cha kukata rufaa ya kupinga Kanuni za Maudhui ya Mtandao ya...

Habari Mchanganyiko

Mvutano waibuka kesi ya Sheikh Ponda

SERIKALI imeitaka Mahakama ya Rufani kuirudisha kesi ya jinai No. 245 ya mwaka 2012, inayomkabili Sheikh Ponda Issa Ponda, katika Mahakama ya Kisutu...

Habari MchanganyikoTangulizi

Kesi ya uvamizi: Sheikh Ponda arudishwa kortini

SHEIKH Ponda Issa Ponda, Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, leo tarehe 11 Juni 2019 anapandishwa kizimbani kwenye Mahakama ya Rufani,...

Habari Mchanganyiko

Mfumuko wa bei wapaa

MFUMKO wa bei umeongezeka kutoka asilimia 3.2 mwezi Aprili, hadi asilimia 3.5 mwezi Mei mwaka huu. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Akizungumza na...

Habari Mchanganyiko

Wizara yapongezwa kupitisha sera ya mkaa

MENEJA wa mradi wa kuleta maeuzi katika Sekta ya mkaa Tanzania (TTCS), Leonard Charles ameishukuru  Wizara ya Maliasili na Utalii kwa kuamua kuunda...

Habari Mchanganyiko

Tuhuma za rushwa: Ofisa TRA, Polisi wapandishwa kizimbani

CHARITY Ngwala (28), Ofisa Msaidizi wa Kodi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), H 4810 PC Ramadhani Uweza (28) na H 48 86...

Habari Mchanganyiko

AZAKI zatakiwa kusimamia fedha za miradi vizuri

SERIKALI imezitaka Asasi za Kiraia (AZAKI) kusimamia vyema matumizi ya fedha za miradi, ili ziwanufaishe walengwa. Anaripoti Danson Kaijage…(endelea). Wito huo umetolewa na...

Habari Mchanganyiko

Serikali: Mradi wa REA haulipi fidia

SERIKALI imesema, hakuna malipo ya fidia kwenye maeneo ya wananchi,yanayopitiwa na mradi wa usambazaji umeme vijijini unaotekelezwa na Wakala wa Nishati Vijijini (REA)....

Habari Mchanganyiko

Familia yarejesha ‘uhai’ wa Kapteni Komba

FAMILIA ya aliyekuwa gwiji wa sanaa nchini, Kapteni Jonh Komba, inatarajia kuzindua taasisi ya kumbukumbu ya kuenzi sanaa yake. Anaripoti Faki Sosi …...

Habari Mchanganyiko

Wananchi wanufaika na mkaa endelevu

WANANCHI wa vijiji 22, wazalishaji mkaa maarufu kama mkaa endelevu na Halmashauri za wilaya wamenufaika kwa kupata fedha zaidi ya Sh. 3 bilioni...

Habari Mchanganyiko

Lukuvi aagiza taasisi wadaiwa pango la ardhi kukutana naye

WIZARA ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, imeagiza taasisi za umma na watu binafsi zaidi 200 zinazodaiwa kodi ya pango la ardhi...

Habari Mchanganyiko

Sheikh wa Dodoma ahimiza amani nchini

SHEIKH wa Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Mustapha Rajabu amewataka Watanzania kuishi maisha ya kulinda na kutunza  amani. Anaripoti Danson Kaijage … (endelea)....

Habari Mchanganyiko

Dk. Kalemani awaka Watanzania kuchangamkia ajira Bombala Mafuta

WAZIRI wa Nishati Dk. Medard Kalemani amewataka wananchi na wadau wa mkoa  wa Kagera kuwa na utayari katika kuchangamkia fursa na ajira wakati...

Habari Mchanganyiko

TCRA wawaburuza wamiliki wa YouTube kinyemela

WATU wanne wakazi wa sehemu tofauti jijini Dar es Salaam, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kujibu shitaka la kuchapisha maudhui ya...

Habari Mchanganyiko

Serikali kuboresha sera ya mbegu

SERIKALI imesema ina mpango wa kuboresha sera ya mbegu ili kuimarisha suala la upatikanaji wa mbegu kimfumo zitakazowasadia wakulima na kuleta tija katika...

Habari Mchanganyiko

Waziri Makamba: Tutabana mianya yote, atakayetoa taarifa Sh. 3 mil

IKIWA leo tarehe 1 Juni 2019 Serikali imeanza utekelezaji wa marufuku ya matumizi ya mifuko ya plastiki, Waziri wa Ofisi ya Makamu wa...

AfyaHabari Mchanganyiko

Misoprostol yatumika kutoa mimba, serikali yatoa agizo

SAKATA la watoto wa kike na kina mama kutumia vibaya dawa aina ya Misoprostol kwa ajili ya kutoa mimba, limeibuka bungeni ambapo serikali...

Habari Mchanganyiko

Mgogoro wa bei Pamba wapatiwa ufumbuzi

MGOGORO wa bei ya zao la pamba ulioukuwepo baina ya wakulima na wanunuzi umemalizwa na sasa zao hilo litaendelea kununuliwa kwa bei elekezi...

Habari Mchanganyiko

Mke ashirkiana na mtoto kumuua mumewe

MWANAUME mmoja, Boniphace Agustino (46) mkazi wa Chamwino, Morogoro ameuawa na watu watatu akiwemo mke wake na mwanae kwa kumpiga kitu kizito kichwani...

HabariHabari Mchanganyiko

Dengue, Vitambi vyazua mjadala bungeni

TATIZO la vitambi na mlipuko wa ugonjwa wa Homa ya Dengue, umezua mjadala bungeni kufuatia wabunge kadhaa kuhoji mpango wa serikali katika kudhibiti...

Habari MchanganyikoTangulizi

Kutekwa Mo: Dereva teksi asomewa mashtaka matatu

MOUSA Twaleb ambaye ni dereva teksi, leo tarehe 28 Mei 2019, amepandisha katika Mahakama ya Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam akituhumiwa kwa...

Habari Mchanganyiko

Basi la Abood lapata ajali, dereva anusurika kifo

DEREVA wa basi  la Abood lenye namba za usajili T 269 DBV ambaye jina lake halikufahamika mara moja amenusurika kifo baada ya kushambuliwa...

Habari Mchanganyiko

Mtanzania afungwa miaka 110 kwa ugaidi Kenya

RAIA wa Tanzania, Abdul Harun Karim amefungwa miaka 110 jela nchini Kenya,  kwa makosa ya kujihusisha na vitendo vya kigaidi nchini humo. Inaripoti...

HabariHabari Mchanganyiko

Taratibu Watanzania nje ya nchi kupiga kura hazijakamilika

SERIKALI imesema, bado inaangalia uwezekano kwa Watanzania waishio nje ya nchi, kupiga kura katika chaguzi mbalimbali zijazo. Anaripoti Regina Mkonde…(endelea). Kauli hiyo imetolewa leo...

Habari Mchanganyiko

ASAS wagawa maziwa kwa Wabunge kuhamasisha unywaji

WATANZANIA wamehamasishwa kutumia maziwa kwa wingi ili kuweza kutunza afya zao kutokana na kuwa maziwa hayo yanapaikana. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea)....

Habari Mchanganyiko

Rais Magufuli atia ‘tumbo joto’ taasisi za serikali

RAIS John Magufuli ameagiza mashirika na taasisi za umma, zitakazoshindwa kupeleka gawio serikalini hadi kufikia Julai mwaka huu, zichukuliwe hatua kwa mujibu wa...

Habari Mchanganyiko

Tanzania yayumba vivutio vya asili

SERIKALI imetaja sababu za Tanzania kushuka kwa nafasi tano, kutoka nafasi ya pili hadi ya nane katika orodha ya nchi zenye vivutio vya...

Habari Mchanganyiko

Mashine za kisasa upimaji ardhi zaletwa

KAMPUNI ya Land Network Ltd ya jijini Dodoma, kwa kushirikiana na kampuni ya utengenezaji wa vifaa vya upimaji ardhi Kolida ya nchini China,...

Habari MchanganyikoTangulizi

JPM: Ole wako Mufti uoe mke mwingine

RAIS John Magufuli amemkabidhi Sh. 10 Mil Mufti wa Tanzania, Aboubakar Bin Zubeir kwa ajili ya kusaidia kuendeleza Qur’an nchini. Anaripoti Hamis Mguta…(endelea). Akimkabidhi...

Habari Mchanganyiko

Kiongozi wa Mwenge: Mwanza inatekeleza miradi kwa kiwango bora

MZEE Mkongea Ali, Kiongozi wa mbio za Mwenge Kitaifa, amesema miradi ya maendeleo ikiwemo ya maji na shule inayoendelea kutekelezwa katika Jiji la...

Habari Mchanganyiko

Serikali kusajili upya maduka ya fedha za kigeni

SERIKALI imesema Benki Kuu ya Tanzania (BoT) itaanza kusajili upya maduka ya kubadili fedha za kigeni. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Akizungumza mkoani...

Habari Mchanganyiko

Membe, Musiba kukutana Julai 2

MAKAHAMA Kuu ya Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam imepanga tarehe 2 Julai 2019 kutoa uamuzi wa madai ya fidia ya Sh. 10...

ElimuHabari Mchanganyiko

UDOM: China iwe mfano kwetu

CHUO Kikuu cha Dodoma (UDOM), kimewataka Watanzania kuwaiga Wachina katika kuthamini na kudumisha tamaduni ikiwemo lugha ya taifa lao. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma...

Habari Mchanganyiko

Dk. Abass: Kutekwa watu hakujaanza sasa

MSEMAJI Mkuu wa Serikali, Dk. Hassan Abass amesema kuwa, matukio ya utekaji na kuotea kwa watu hayajaanza ndani ya Serikali ya Awamu ya...

Habari Mchanganyiko

Gesi asilia kusambazwa, kupunguza matumizi ya kuni, mkaa

SUBIRA Mgalu, Naibu Waziri wa Nishati amsema, serikali imeanza kutekeleza mradi wa kusambaza gesi asilia katika miji ya Mtwara, Lindi, Pwani na Dar...

Habari Mchanganyiko

Mwakagenda aitibulia TBC1 bungeni

SHIRIKA la Utangazaji nchini (TBC1), limelalamikiwa kutoa matangazo yake kwa upendeleo. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Sofia Mwakagenda, Mbunge wa Viti Maalum (Chadema)...

Habari Mchanganyiko

Maeneo yaliyotwaliwa na JWTZ yameanza kulipwa – Waziri Mwinyi

MBUNGE wa Mtambile, Masoud Salim (CUF) ameihoji Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) lini italipa fidia wananchi waliotwaliwa maeneo yao...

Habari Mchanganyiko

TRA yatangaza neema kwa wananchi

MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imetangaza fursa ya malipo ya asilimia tatu kwa yeyote atakayetoa taarifa sahihi za kufanikisha kukusanywa kodi iliyokwepa na...

Habari Mchanganyiko

Makabila mchanganyiko kikwazo cha usafi Dar – Meya Moshi

MEYA wa Halmashauri ya Mji Moshi, Raymond Mboya amesema, mchanganyiko wa makabila katika Jiji la Dar es Salaam ni miongoni mwa vikwazo katika...

Habari Mchanganyiko

Makonda: Serikali imetenga Bil 200 ujenzi miundombinu

SERIKALI ya Tanzania, imetenga jumla ya shilingi 200 bilioni kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu kuzunguka Mto Msimbazi, jijini Dar es Salaam. Anaripoti Hamis...

error: Content is protected !!