HABARI ZA AFYA TANGULIZI Wataalam 2,980 wajengewa uwezo kutoa huduma ya afya ya akili February 3, 2025 Erasto Masalu SERIKALI imewajengea uwezo wataalam 2,980 kutoka vituo 710 vya afya nchini ili waweze kutoa huduma za afya ya akili katika maeneo yao ikiwa ni hatua madhubuti ya kukabiliana na changamoto…
SIASA TANGULIZI Polisi wakwama, mwakilishi Wingi aachiwa huru February 2, 2025 Erasto Masalu MJUMBE wa Baraza la Wawakilishi, Jimbo la Wingwi, Wilaya ya Micheweni, Mkoa wa Kaskazini Pemba, Kombo Mwinyi Shehe ameachiwa huru na Polisi bila ya mashtaka yoyote. Anaripoti Jabir Idrissa, Zanzibar…
HABARI MCHANGANYIKO TANGULIZI Askari wawili JWTZ wapoteza Maisha Goma, DR Congo February 2, 2025 Erasto Masalu WANAJESHI wawili wa Jeshi la Ulinzi la Tanzania (JWTZ), wameuawa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), kwa mujibu wa jeshi la Tanzania. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam ……
ELIMU Wanafunzi waliopata Division One St Mary’s watunukiwa tuzo February 2, 2025 Erasto Masalu WANAFUNZI 30 wa shule ya St Mary’s Mbezi waliopata daraja la kwanza kwenye matokeo ya kidato cha nne mwaka huu wamepewa zawadi mbalimbali zikiwemo fedha taslim. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar…
HABARI ZA MICHEZO Maliza wikendi kishujaa na Meridianbet leo February 2, 2025 Erasto Masalu Leo tena imefika ya kwenda kupiga zako mpunga na wakali wa ubashiri Meridianbet ambapo nafasi ya wewe kuibuka bingwa ikiwa ni kubwa sana. Mechi nyingi kuchezwa leo. Unasubiri nini sasa?.…
ELIMU TANGULIZI Rais Samia: Maslahi ya walimu kupitiwa upya February 1, 2025 Erasto Masalu KATIKA kuboresha elimu nchini Rais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hasani amesema kuwa serikali inaangalia namna ya kuboresha maslahi ya walimu ili kada hiyo iendelee kuheshimika na kuthaminiwa…
BIASHARA Pata bonasi ukijiunga na Meridianbet sasa February 1, 2025 Erasto Masalu Mabingwa wa michezo ya kubashiri kampuni ya Meridianbet wanatoa bonasi ya shilingi 10,000 ya kitanzania pale ambapo utajiunga na tovuti yao ya kubashiri na kuweka mkeka wako wa kwanza. Meridianbet…
HABARI ZA MICHEZO Chukua chako na Meridianbet Jumamosi ya leo February 1, 2025 Erasto Masalu Wikendi ndiyo hiyo imefika ya wewe kuondoka na mkwanja wa maana kabisa ambapo leo hii ligi kibao zinaendelea na pale Meridianbet wanakwmabia kuwa nafasi ya wewe kupiga mshindo ni kubwa.…
BIASHARA Mmachinga wa Kariakoo ashinda BMW X1 ya kampeni ya NBC January 31, 2025 Erasto Masalu BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC) imehitimisha rasmi kampeni yake ya ’Shinda mechi zako Kinamna yako’ kwa kukabidhi zawadi ya gari ya pili aina BMW X1 kwa Galus Peter Casto…
HABARI MCHANGANYIKO Heifer yampa Sh. 25 mil kijana aliyeshinda ubunifu teknolojia ya kilimo January 31, 2025 Erasto Masalu HEIFER International Tanzania leo imetangaza washindi wa Mashindano ya AYuTe Africa Challenge Tanzania 2025 awamu ya pili, ikitoa jumla ya dola za kimarekani 25,000 kwa vijana wenye kampuni changa bunifu…