HABARI MCHANGANYIKO SIASA Serikali kutatua changmoto ya magugu maji Ziwa Victoria January 31, 2025 Erasto Masalu NAIBU Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Ofisi ya Makamu wa Rais, Khamis Hamza Khamis amesema Serikali inaendelea na tathmni ya uwepo wa magugu maji katika Ziwa…
SIASA TANGULIZI Madeleka ataka maridhiano yatumike kesi ya Dk. Slaa January 31, 2025 Erasto Masalu WAKILI Peter Madeleka ameomba kutumika kwa njia ya maridhiano kwenye kesi ya Dk. Wilbrod Slaa, kutokana na kuonekana kwa juhudi za makusudi za kukwamisha haki ya mshtakiwa huyo. Anaripoti Mwandishi…
HABARI ZA MICHEZO Gumzo albamu mpya ya Bruce Melodie January 31, 2025 Erasto Masalu STAA wa muziki nchini Rwanda, Bruce Melodie ameachia albamu yake mpya iitwayo ‘Colorful Generation’ ambayo ni moto wa kuotea mbali na kuwa gumzo mitandaoni. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam…
HABARI ZA MICHEZO Circumference ya Bebe Cool yazidi kupasua anga January 31, 2025 Erasto Masalu MKONGWE katika muziki nchini Uganda, Bebe Cool anazidi kuchanja mbuga na kibao chake ‘Circumference’ alichoachia hivi karibuni. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Singo hiyo ambayo ameirekodi katika…
BIASHARA HABARI MCHANGANYIKO Mama ntilie wa Muhimbili wapewa Aprons na Meridianbet January 31, 2025 Erasto Masalu Kama ilivyo kawaida Meridianbet haijihusishi na michezo ya kubashiri pekee bali pia hujihusisha na kurejesha kwenye jamii kile kidogo ambacho hukipata kwa lengo la kuisaidia jamii kwenye changamoto zao. Na…
SIASA TANGULIZI ‘Honey Moon’ yenu ikija na mambo ya hovyo hatukubali – Wassira January 30, 2025 Erasto Masalu MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira Chama na serikali yake haitakubaliana na azimio lolote litakalopitishwa na Chama cha Demokrasia na maenddeleo lenye lengo la kuvunja…
HABARI MCHANGANYIKO Dk. Biteko aongoza waombolezaji kuaga miili ya wanafunzi waliokufa kwa radi January 30, 2025 Erasto Masalu LEO Januari 30, 2025 mkoani Geita, maelfu ya waombolezaji wamejitokeza kuaga miili ya wanafunzi saba wa Shule ya Sekondari Businda iliyopo wilayani Bukombe waliofariki kwa kupigwa na radi mnamo tarehe…
HABARI MCHANGANYIKO Wanawake vyombo vya ulinzi na usalama Songwe kushiriki Siku ya Wanawake Duniani January 30, 2025 Erasto Masalu ASKARI wa kike kutoka Vyombo vya Ulinzi na Usalama mkoani Songwe waungana ili kushiriki kikamilifu katika Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani itakayofanyika Machi 2025. Anaripoti Issa Mwadangala, Songwe ……
HABARI MCHANGANYIKO Ofisi ya Makamu wa Rais yaandaa mkakati wa usimamizi wa taka January 30, 2025 Erasto Masalu OFISI ya Makamu wa Rais imeandaa Mkakati wa Usimamizi wa Taka wa mwaka 2025-2030 ambao unalenga kuimarisha miundombinu ya usimamizi wa taka katika maeneo yote nchini. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma…
HABARI MCHANGANYIKO Serikali yaridhishwa na ujenzi wa barabara Mtili-Ifwagi, Wenda-Mgama January 30, 2025 Erasto Masalu MTENDAJI Mkuu wa Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA), Mhandisi Victor Seff, amesema serikali inaridhishwa na kazi zinayofanywa na wakandarasi wanaojenga barabara za Mtili – Ifwagi (Km. 14)…