HABARI MCHANGANYIKO Benki ya Coop mkombozi kwa wanaushirika January 30, 2025 Erasto Masalu BENK ya Ushirika ya Kidijitali Tanzania imetaja mambo makubwa matatu ambayo yataifanya benki hiyo kuwa tofauti na benki nyingine tanzania huku ikielezwa ni benki mahususi kwa ukombozi wa mkulima,mfuhaji na…
ELIMU Rais Samia kuzindua sera ya Elimu kesho January 30, 2025 Erasto Masalu KATIKA uboreshaji sekta ya elimu nchini na kuifanya elimu ya Tanzania kuwa ya kiwango cha juu na ufahamu mkubwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Rais Samia Suluhu Hasani…
BIASHARA HABARI ZA AFYA Zahanati ya Alimaua yapokea msaada kutoka Meridianbet January 30, 2025 Erasto Masalu KAMA ilivyo kawaida wakali wa ubashiri Tanzania Meridianbet wameendelea na zoezi lao la kurejesha kwenye jamii ambapo safari hii wameamua kuilenga zahanati ya Alimaua na kutoa msaada wa mashuka. Wababe…
ELIMU Wazazi walalamikia walimu Ilala, kisa chakula cha shule January 28, 2025 Erasto Masalu BAADHI ya wazazi katika Kata ya Kivule Ilala jijijni wametupia lawama shule ya msingi Anex, Serengeti na Kivule Kwa kuwatenga, kuwanyanyapaa wanafunzi ambao wazazi wao wameshindwa kuchangia shilingi ,1500 ya…
MAKALA & UCHAMBUZI SIASA Mbunge Mkinga hali tete jimboni January 28, 2025 Erasto Masalu NAIBU Waziri wa Maliasili na Utalii, Danstan Kitandula ana wakati mgumu kutetea jimbo lake la Mkinga, Tanga kwa kinachoelezwa ni kukwama utekelezaji wa miradi ya maendeleo aliyoahidi. Anaripoti Mwandishi Wetu,…
SIASA Tuwakatae wanasiasa wachonganishi na wafitinishi – Makalla January 28, 2025 Erasto Masalu WATANZANIA wametakiwa kuachana na viongozi wa kisiasa wenye fitna na wachonganishi kwani wanaleta chuki na uhasama hata pale mazuri yanapofanyika. Anaripoti Mwandishi Wetu, Pemba … (endelea). Ushauri huo umetolewa na…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA TANGULIZI Tanzania yaweka mkazo mkakati wa nishati ya kupikia January 28, 2025 Erasto Masalu RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan, amesisitiza umuhimu wa nchi za Afrika kushirikiana katika kuhakikisha wananchi wanapata nishati bora na safi ya kupikia, hatua ambayo…
BIASHARA HABARI MCHANGANYIKO Mali za magendo zitakazokamatwa nchini kutaifishwa January 27, 2025 Erasto Masalu WAKATI Tanzania ikiungana na nchi nyingine Duniani kuadhimisha siku ya Kimataifa ya Forodha, Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Yusuph Juma Mwenda ametuma salamu kwa wote wanaojihusisha na…
HABARI MCHANGANYIKO HABARI ZA AFYA Waziri Mhagama: Tumejiandaa kuwahudumia wageni katika sekta ya afya January 26, 2025 Erasto Masalu WIZARA ya Afya nchini imesema kuwa imechukua tahadhali zote zinazohusu masuala ya afya kwa ajili ya kuwahudumia viongozi na wageni mbalimbali watakaohudhuria Mkutano Mkuu wa Nishati Barani Afrika utakaoanza kesho…
HABARI MCHANGANYIKO KIMATAIFA Rais wa Sierra Leone awasili nchini January 25, 2025 Erasto Masalu RAIS wa Jamhuri ya Sierra Leone, Julius Maada Bio, amewasili jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Kilele wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Nishati, unaotarajiwa…