BIASHARA Meridianbet yawashika mkono Magomeni Makuti January 25, 2025 Erasto Masalu Jumamosi nyingine tena ya mwezi wa kwanza ambapo siku ya leo kampuni kubwa ya ubashiri Tanzania, Meridianbet imeamua kuwafikia wakazi wa Magomeni Makuti na kutao msaada wa vyakula. Meridianbet, kwa…
HABARI ZA MICHEZO Tandika jamvi lako la ushindi hapa January 24, 2025 Erasto Masalu Ijumaa ya leo ni siku nzuri ya kupiga pesa ndani ya Meridianbet ambapo nafasi ya wewe kuibuka bingwa unayo. Ligi mbalimbali zitaendelea hivyo suka jamvi lako na uobuke bingwa leo.…
HABARI MCHANGANYIKO Kampeni ya Kisheria ya Rais Samia yatinga Kigoma January 24, 2025 Erasto Masalu KISHINDO cha Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia (MSLAC) kimeanza leo katika mikoa sita ikiwamo Kigoma huku jamii imetakiwa kutumia fursa hiyo ili kupata ufumbuzi changamoto za kisheria…
ELIMU FEZA Boys yafaulisha wanafunzi wote January 23, 2025 Erasto Masalu SHULE Sekondari Feza Boys imejivunia uwekezaji iliyofanya katika kumuandaa mwanafunzi kuwa bora baada ya kufaulisha wanafunzi wote kwa kupata daraja la kwanza katika mtihani wa Taifa wa kidato cha nne…
HABARI MCHANGANYIKO TMA yatoa utabiri wa msimu wa mvua za masika 2025 January 23, 2025 Erasto Masalu MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema msimu wa mvua za masika zinatarajiwa kuanza Machi 2025 katika maeneo yanayopata misimu miwili ya mvua, hasa Kanda ya Ziwa Victoria, Nyanda…
BIASHARA Meridianbet yaonyesha ukuaji wake kwenye kikao cha mwisho wa mwaka January 23, 2025 Erasto Masalu KATIKA mkutano mkubwa uliofanyika mwishoni mwa mwaka 2024 jijini Orlando mkurugenzi wa Meridianbet bwana Zoran Milosevic kupitia makampuni ya GMGI alionesha namna ambavyo kampuni hiyo imeweza kua na mafanikio makubwa…
HABARI ZA MICHEZO Alhamisi ya Europa leo imekuja na maokoto ya maana January 23, 2025 Erasto Masalu Baada ya siku mbili hizi kushuhudia ligi ya mabingwa Ulaya, sasa ni zamu ya Europa League ambapo mechi kibao za pesa kupigwa leo. Ili kupata mkwanja wako sasa, ingia Meridianbet…
ELIMU TANGULIZI NECTA watangaza matokeo ya kidato cha nne January 23, 2025 Erasto Masalu BARAZA la Mitihani Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya kidato cha nne ambayo yatawawezesha wanafunzi kujiunga na kidato cha tano. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Kuangalia matokeo ya…
SIASA Lissu amteua Dk. Nshala kuwa Mwanasheria Mkuu wa Chadema, Lema na wengine watatu Kamati Kuu January 22, 2025 Erasto Masalu TUNDU Lissu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) amewateua wanachama wa chama hicho watano akiwemo Godbless Lema na Dk. Rugemeleza Nshala kuwa wajumbe wa Kamati wa chama hicho.…
SIASA TANGULIZI Mnyika ateuliwa tena kuwa Katibu Mkuu January 22, 2025 Erasto Masalu BARAZA Kuu la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) limemthibitisha, John Mnyika kuendelea kuwa Katibu Mkuu wa chama hicho. Anaripoti Faki Sosi, Dar es Salaam … (endelea). Jina hilo limependekezwa…