HABARI ZA MICHEZO Jumatano ya leo Uefa Champions League kinaendelea kupigika January 22, 2025 Erasto Masalu BAADA ya jana ligi ya mabingwa ulaya kupigwa kwenye viwanja mbalimbali ambapo wewe mdau wa Meridianbet unaweza kupiga mkwanja wa kutosha kupitia michezo ambayo inakwenda kupigwa usiku wa leo. Klabu…
SIASA Mbowe aagiza kuunda kamati ya kuponya makovu ya Kampeni January 22, 2025 Erasto Masalu MWENYEKITI Mstaafu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe amesema pamoja na kuwa yeye ni mstaafu lakini anatoa maagizo ya viongozi wapya wa chama hicho kuunda tume kwa…
SIASA TANGULIZI Lissu amzidi Mbowe kura 31, Heche Makamu Mwenyekiti Bara January 22, 2025 Erasto Masalu TUNDU Lissu ameshinda uenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kwa kura 513 sawa na asilimia 51.5 akimzidi Freeman Mbowe Mwenyekiti aliyemaliza muda wake kwa kura 31 ambapo amepata…
BIASHARA Cheza mchezo wa kasino Sweet Bonanza 1,000 Ushinde x25,000 ya dau lako January 21, 2025 Erasto Masalu Meridianbet kasino ya mtandaoni sasa inakuletea mchezo mpya wa sloti ambao utakushangaza. Katika mchezo wa Sweet Bonanza 1000, unaweza kushinda mara 25,000 zaidi ya dau lako ulilocheza. Jisajili Meridianbet ili…
HABARI ZA MICHEZO Mechi za UEFA kukutajirisha leo January 21, 2025 Erasto Masalu Hatimaye baada ya muda mrefu na kusubiriwa kwa hamu sasa leo hii Ligi ya mabingwa Ulaya kuendelea hii leo kwa michezo mingi yenye pesa. Nafasi ya kupiga pesa unayo leo,…
HABARI MCHANGANYIKO Majaliwa: Serikali imefanya uwekezaji mkubwa kwa TMA January 21, 2025 Erasto Masalu SERIKALI ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, imeendelea kufanya uwekezaji mkubwa katika Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini ikiwemo upande wa miundombinu ya uangazi…
SIASA TANGULIZI Lissu: Sijawahi kugombana na Mbowe January 21, 2025 Erasto Masalu TUNDU Lissu, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)- Bara, amesema kuwa amesema pamoja kutofautiana na Mwenyekiti wa Chama hicho, Freeman Mbowe kwa misimamo lakini hawajawahi kugombana. Anaripoti…
SIASA TANGULIZI Mbowe afungua Mkutano Mkuu akilia na matusi January 21, 2025 Erasto Masalu FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amewasihi viongozi watakaoshika nyadhifa katika chama hicho ni lazima wakijenge katika misingi ya maadili na nidhamu. Anaripoti Faki Sosi, Dar…
SIASA Jumuiya ya Wazazi CCM yawapiga biti mavimba macho Urais CCM 2025 January 21, 2025 Erasto Masalu JUMUIYA ya wazazi kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) imetoa rai kwa makada wote wa chama hicho kuwa mbio za kufikiria kuwania kiti cha Urais zimeisha fungwa rasm na kama kuna…
HABARI ZA MICHEZO Tusua kijanja na Meridianbet leo January 20, 2025 Erasto Masalu Baada ya wikendi kushuhudia mechi kibao zikiendelea kwenye ligi mbalimbali, leo hii pia unaweza kusuka jamvi lako la ushindi hapa. Ingia www.meridianbet.co.tz. Kama kawaida ligi kuu ya Uingereza EPL itaendelea…