SIASA Mwabukusi: Chadema tutawaadhibu, msipowasiliza wananchi January 20, 2025 Erasto Masalu BONIFACE Mwabukusi, Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), amewaonya wajumbe wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kwamba wakichagua kwa ushabiki bila kusikiliza sauti za wananchi watawaadhibu. Anaripoti Mwandishi…
ELIMU HABARI MCHANGANYIKO Waziri Jafo akagua maandalizi miaka 60 ya CBE January 20, 2025 Erasto Masalu WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Selemani Jafo ametembelea Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) kuangalia maandalizi ya sherehe za miaka 60 tangu kuanzishwa mwaka mwaka 1965. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar…
SIASA Mbowe, Lissu wawagawa viongozi wa Kigoma January 20, 2025 Erasto Masalu BAADHI ya Viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Wilaya mbalimbali za mkoa wa Kigoma wamesema kuwa msimamo wa kumuunga mkono Tundu Lissu sio wao ni wa Mwenyekiti wa…
SIASA TANGULIZI Rais Samia kwenda na Dk. Nchimbi 2025 January 20, 2025 Erasto Masalu BAADA ya Mkutano Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kumpitisha kwa kishindo Rais Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea wa Urais kwa tiketi ya chama hicho katika Uchaguzi Mkuu Oktoba mwaka…
SIASA TANGULIZI Kinana atoa neno baada ya kupatika mrithi wake January 20, 2025 Erasto Masalu MUDA mchache baadaye Makamu Mwenyekiti mstaafu wa chama cha Mapinduzi (CCM) Abdurahman Kinana kupata mrithi kwenye nafasi hiyo amesema kuwa chama hicho kitaendelea kuwa imani ya Watanzania kutokana na sera…
HABARI ZA MICHEZO Maliza wikendi na jamvi la uhakika hapa January 19, 2025 Erasto Masalu Baada ya mechi mbalimbali kuendelea na kama jana hukufanikiwa kupiga mkwanja wa uhakika, basi nafasi hiyo unayo leo hii. Bashiri mechi zote kuanzia kule Laliga, EPL, Bundesliga na nyinginezo ujiweke…
HABARI ZA MICHEZO TANGULIZI Gusa achia twende robo fainali yakwama January 18, 2025 Erasto Masalu MCHEZO wa Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya Yanga dhidi ya MC Alger umegota mwisho huku mpango kazi wa Gusa achia twende robo fainali kwa Yanga ukikwama. Anaripoti Mwandishi Wetu,…
BIASHARA Siku mbili zimebaki milioni moja itoke kupitia shindano la Expanse January 18, 2025 Erasto Masalu Kaa tayari kunyakua kitita cha shilingi milioni moja kwa wewe mdau wa michezo ya kasino ya Expanse pale Meridianbet, Kwani zimebaki siku mbili tu mshindi wa shindano la Expanse apatikane…
HABARI ZA MICHEZO Butua na Meridianbet Jumamosi ya leo January 18, 2025 Erasto Masalu JUMAMOSI ya kusaka mapene na wakali wa ubashiri Meridianbet imefika ambapo mechi kibao kuanzia pale Uingereza, mpaka kule Italia zitapigwa. Weka dua ako dogo na ushindi Mamilioni hapa. Ligi pendwa…
HABARI ZA MICHEZO Butua na Meridianbet Ijumaa ya leo January 17, 2025 Erasto Masalu Kama kawaida wakali wa Meridianbet Tanzania wanaendelea kukwambia bashiri mechi za leo uweze kujiweka kwenye nafasi ya wale Mamilionea ambao watatangazwa siku ya leo. ODDS KUBWA na Machaguo zaidi ya…