BIASHARA Shindano la Expanse Kasino ndio habari ya mjini kwa sasa January 17, 2025 Erasto Masalu Meridianbet wamekuja na shindano lao micheza ya Expanse kasino ambapo unaweza kuondoka na mkwanja wa kutosha kupitia shindano hili, Ambapo kiasi cha pesa ambacho kitashindaniwa ni shilingi Milioni moja taslimu.…
SIASA TANGULIZI Dk Slaa azidi kusota jela, wakili wake ageuka mbogo January 17, 2025 Erasto Masalu WAKILI Peter Madeleka, ambaye ni mmoja wa mawakili sita wanaomtetea aliyekuwa balozi wa Tanzania nchini Sweeden Dk. Wilbord Slaa amelaumu utaratibu wa uendeshaji kesi ya mteja wake hivyo kubisha hodi…
ELIMU TLSB yawapa matumaini waandishi na wachapishaji wa vitabu wa ndani January 17, 2025 Erasto Masalu SERIKALI kupitia Bodi ya Huduma za Maktaba Tanzania (TLSB), imesema itaendelea kuhifadhi machapisho ya vitabu vya ajili ya kukuza maarifa na elimu kupitia vitabu kwa vizazi vya sasa na vijavyo.…
SIASA TANGULIZI Kesi ya Dk. Slaa, mawakili waminyana Mahakamani January 17, 2025 Erasto Masalu UPANDE wa utetezi katika katika kesi inayomkabili Katibu Mkuu wa zamani wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Wilbroad Slaa umewasilisha pingamizi lao dhidi ya shtaka linalomkabili katika mahakama…
BIASHARA Kuwa mjanja, ukicheza sloti ya Lucky Betting Shop mamilioni yanakusubiri! January 16, 2025 Erasto Masalu Kucheza kasino sio lazima ufike kwenye maduka la kasino yaliyopo mtaani, Meridianbet imerahisisha kazi yako, kupitia kasino ya mtandaoni utapata wasaa wa kucheza michezo ya sloti na kasino kirahisi kabisa.…
HABARI ZA MICHEZO EPL na COPA DE LE REY kukupa maokoto leo January 16, 2025 Erasto Masalu Ligi kuu ya Uingereza pamoja na kombe la Copa de le rey kule nchini Hispania itaendelea na itapigwa michezo kadhaa ambayo itahakikisha wewe mtaalamu wa kubashiri unaweza kuondoka na mkwanja…
BIASHARA HABARI MCHANGANYIKO TRA, Wafanyabiashara Kariakoo kufanya Bonanza la pamoja J’pili January 16, 2025 Erasto Masalu WAKATI maadhimisho ya wiki kwa mlipa Kodi yakikaribia kufikia kilele chake, Januari 23, 2025, Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imeandaa bonanza litakalowakutanisha wafanyabiashara wa Kariakoo na wafanyakazi wa TRA ili…
BIASHARA The Cursed King mchezo mpya wa kasino Meridianbet January 15, 2025 Erasto Masalu Kupitia Meridianbet utakutana na mchezo wa kasino ya mtandaoni unaoelezea kisa cha Farao aliyelaaniwa kwa matendo yake, unachopaswa kufanya ni kuwa mkali kwa kucheza vizuri ni njia sahihi kukupa ushindi…
HABARI ZA MICHEZO EPL, Serie A, Bundesliga kinawaka leo January 15, 2025 Erasto Masalu Ligi kadhaa kubwa barani ulaya zitaendelea kuchezwa usiku wa leo huku ukipata nafasi ya kuweza kupiga mkwanja Meridianbet kupitia michezo ambayo itachezwa katika ligi hizo. Pale ligi kuu ya Uingereza…
ELIMU TLSB kuwakutanisha waandishi na wachapishaji vitabu kesho Dar January 14, 2025 Erasto Masalu BODI ya Huduma za Maktaba Tanzania (TLSB), imeandaa mkutano wa waandishi na wachapishaji wa vitabu kuhusu Sheria ya amana kwenye maktaba mtandao wa taifa na ununuzi wa vitabu kwa ukuzaji…