ELIMU CBE yajivunia mafanikio lukuki miaka 60 ya uhai wake January 14, 2025 Erasto Masalu NAIBU Waziri Mkuu, Dk Doto Biteko anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye maadhimisho ya miaka 60 tangu kuanzishwa kwa Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) yanayotarajiwa kufanyika mwanzoni mwa wiki ijayo.…
SIASA TANGULIZI Wakili Mahinyila Mwenyekiti mpya Bavicha January 14, 2025 Erasto Masalu WAKILI Deogratius Mahinyila ameshinda uenyekiti wa Baraza la Vijana la Chadema (Baraza) kwa kutwaa kura 204 sawa na asilimia 64 huku mpinzani wake Hamis Masoud akiondoka na kura 112 sawa…
BIASHARA Meridianbet kasino ujanja wa mjini sloti ya Goddess of the Night January 14, 2025 Erasto Masalu Karibu tena kwenye jukwaa la kasino ya mtandaoni, ambapo Meridianbet inakupa fursa ya kufurahia mchezo wa kubashiri wenye utamaduni wa Wahindi wekundu ambao baadae walikuwa ni Wamarekani (Red Indians). Kaa…
HABARI ZA MICHEZO Pesa nyingi zipo leo hii January 14, 2025 Erasto Masalu Meridianbet inakuambia hivi kuwa siku ya wewe kuondoka na kibunda ndio hii ya leo. Dortmund, Chelsea. Juventus wapo tayari kukupatia maokoto. Ingia kwenye akaunti yako na usuke jamvi lako la…
HABARI MCHANGANYIKO TANGULIZI TMA yatoa taarifa ya uwepo wa Kimbunga Dikeledi, pwani ya Msumbiji January 14, 2025 Erasto Masalu MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) inatoa taarifa ya uwepo wa kimbunga “DIKELEDI” katika Bahari ya Hindi mwambao wa pwani ya Msumbiji. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam ……
BIASHARA Giant Wild Goose Pagoda Sloti kutoka Meridianbet kasino. January 13, 2025 Erasto Masalu Giant Wild Goose Pagoda ni mchezo wa sloti kwenye kasino ya mtandaoni yenye nguzo tano zilizopangwa katika mistari minne na ina njia 50 za kulipa. Ili kupata ushindi wowote, lazima…
HABARI ZA MICHEZO Rehema Simfukwe atoboa siri kuimba wimbo wa Chanzo …amtaja mtoto Dorcas January 13, 2025 Erasto Masalu MWANAMUZIKI maarufu katika Muziki wa Injili nchini Rehema Simfukwe amevunja ukimya kwa mara ya kwanza kwa kuamua kutoa sababu za kutunga wimbo wa Chanzo ambao umekuwa ukipendwa na kuvuta hisia…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA Bashungwa azuiwa vitambulisho 31,000 vya NIDA January 13, 2025 Erasto Masalu WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa ameagiza kurejeshwa kwa vitambulisho 31,000 vya Taifa (NIDA), vilivyotengenezwa chini ya kiwango na kugawia kwa wananchi. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es…
HABARI MCHANGANYIKO NIDA kutoa vitambulisho laki 4, waboresha mfumo January 12, 2025 Erasto Masalu MAMLAKA ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), kupitia serikali imedhamilia kuboresha mfumo wa utoaji wa vitambulisho hivyo, ambapo hivi karibuni wanatarajia kutoa vitambulisho zaidi ya 400,000 ambavyo vitatolewa kwa siku. Anaripoti…
HABARI MCHANGANYIKO TANGULIZI Maria Sarungi apatikana akiwa hai January 12, 2025 Erasto Masalu MWANAHARAKATI wa haki za Binadamu Maria Sarungi, raia wa Tanzania amepatikana mara baada ya kutekwa na watu wenye silaha nchini Kenya, leo mchana. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Taarifa za…