SIASA Malisa: Uchaguzi wa Chadema ni makosa kimkakati January 12, 2025 Erasto Masalu MWANACHAMA wa Chama Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Godlisten Malisa ametahadharisha chama chake kufanya uchaguzi wa ndani na kueleza kufanya hivyo ni makosa ya kikamkati. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam…
HABARI MCHANGANYIKO TANGULIZI Maria Sarungi atekwa nchini Kenya January 12, 2025 Erasto Masalu MWANAHARAKATI Maria Sarungi raia wa Tanzania, ametekwa nyara nchini Kenya na watu wenye silaha kali na kutokomea nae kusiko julikana. Anaripoti Mwandishi Wetu, Kenya … (endelea). Shirika la kutetea haki…
BIASHARA Shinda mkwanja na Expanse Tournament January 12, 2025 Erasto Masalu Meridianbet kwa mara nyingine tena wanakuletea shindano la michuano ya kasino inayofahamika kama shindano la mabingwa ambapo mshindi ataondoka na kitita cha milioni moja taslimu, Shindano hili la mabingwa limeanza…
HABARI ZA MICHEZO Suka jamvi lako la ushindi hapa January 11, 2025 Erasto Masalu Jumamosi ya kuhakikisha huondoki patupu imewadia ambapo mechi nyingi za ligi mablimbali zinaenda kupigwa siku ya leo. Weka dau lako dogo na ujishindie mkwaja mrefu sasa. Meridianbet inaanza kuiangazia ligi…
BIASHARA Fungua mwaka kibabe kupitia shindano la Expanse January 11, 2025 Erasto Masalu Fungua mwaka kibabe na Meridianbet kupitia shindano kubwa la kibabe la michuano ya Expanse Kasino ambapo utaweza kujishindia kitita cha kutosha kupitia shindano hili ambalo litahusisha michezo ya kasino ambayo…
HABARI MCHANGANYIKO Serikali yasisitiza umuhimu wa mafunzo ya ufuatiliaji miradi yake January 11, 2025 Erasto Masalu SERIKALI kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) imezitaka halmashauri, taasisi, na wadau mbalimbali wanaonufaika na mafunzo ya ufuatiliaji na tathmini kutumia vyema fursa hizo, kuongeza ufanisi wa…
SIASA TANGULIZI Dk. Slaa aburuzwa kortini apelekwa lupango January 10, 2025 Erasto Masalu ALIYEKUWA balozi Tanzania nchini Sweden, Dk. Wilbord Slaa ameshtakiwa kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kwa tuhuma za kuchapisha taarifa za upongozi kwenye mtandao wa X. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar…
KIMATAIFA Dk. Mpango: Marekani ina mchango mkubwa katika maendeleo January 10, 2025 Erasto Masalu MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Philip Mpango amesema Tanzania inathamini ushirikiano uliopo na Taifa la Marekani ambao umetoa mchango katika maendeleo ya sekta mbalimbali. Anaripoti…
HABARI MCHANGANYIKO CP. Wakulyamba: Uvamizi wa maeneo hifadhi ya Taifa ya Katavi haukubaliki January 10, 2025 Erasto Masalu JESHI la Uhifadhi nchini limetakiwa kuhakikisha linaimarisha ulinzi katika maeneo yaliyohifadhiwa kisheria, ili kupambana na changamoto za uvamizi wa maeneo hayo unaofanywa na baadhi ya watu wenye nia ovu. Anaripoti…
BIASHARA Mkwanja upo kasino ya mtandaoni Meridianbet January 10, 2025 Erasto Masalu Kama ulikuwa unadhani umeona vingi au kufanya vingi, basi sahau kabisa bado kuna vingi sana huvijui na leo nakusogezea mchongo ambao huenda unaujua au huujui unahitaji kuufahamu, ni kutoka kasino…