HABARI MCHANGANYIKO KIMATAIFA Maadhimisho ya Nne ya Lugha ya Kiswahili yapokewa kwa bashasha Harare, Zimbabwe July 12, 2025 Erasto Masalu MAADHIMISHO ya nne ya Lugha ya Kiswahili yamefanyika Zimbabwe huku maadhimisho hayo yakipokelewa kwa namna yapekee Nchini humo na washiriki kutoka maitafa mbalimbali. Anaripoti Mwandishi Ubalozi wa Tanzania, Zimbabwe ……
KIMATAIFA Diogo Jota wa Liverpool afariki kwa ajalin July 3, 2025 Erasto Masalu KLABU ya Liverpool ya Uingereza imepata pigo baada ya mshambuliaji wake, Diogo Jota kufariki katika ajali ya barabarani akiwa na umri wa miaka 28. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa … (endelea).…
KIMATAIFA TANGULIZI Iran yashambulia kambi za Marekani Qatar, Iraq June 23, 2025 Erasto Masalu IRAN imerusha makombora katika kambi ya jeshi la Marekani nchini Qatar, ikisema kuwa ni kulipiza kisasi kwa mashambulizi ya Marekani dhidi ya maeneo yake ya nyuklia mwishoni mwa wiki. Inaripoti…
HABARI MCHANGANYIKO KIMATAIFA Mmoja anusurika kwenye ajali ya Air India June 13, 2025 Erasto Masalu VISHWASHKUMAR Ramesh raia wa Uingereza ameripotiwa kuwa ndiye mnusurika pekee wa ajali ya Air India iliyowaua watu takribani 241. Anaripoti Joyce Ndeki kwa msaada wa mitandao ya kimataifa … (endelea).…
KIMATAIFA Rais wa zamani wa Zambia Lungu afariki dunia June 5, 2025 Erasto Masalu RAIS wa zamani wa Zambia Edgar Lungu amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 68, chama chake kimesema. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa … (endelea). “Amekuwa akipokea matibabu maalum nchini Afrika…
HABARI MCHANGANYIKO KIMATAIFA Tanzania yang’ara wakaguzi wa majitaka migodini kimataifa May 20, 2025 Erasto Masalu TANZANIA imeendelea kung’ara katika majukwaa ya kimataifa baada ya kuwa kivutio kikubwa katika mkutano wa Tathmini ya Mafunzo ya Ukaguzi wa Majitaka ya Migodini unaofanyika katika Chuo Kikuu cha Sayansi…
HABARI MCHANGANYIKO KIMATAIFA Thabo Mbeki atua Tanzania kushiriki maadhimisho ya Siku ya Afrika May 20, 2025 Erasto Masalu THABO Mbeki Rais Mstaafu wa Afrika ya Kusini amewasili nchini Tanzania Mei 20, 2025, kushiriki Mhadhara wa Siku ya Afrika (Africa Day Lecture) ulioandaliwa na Taasisi ya Thabo Mbeki kwa…
HABARI MCHANGANYIKO KIMATAIFA TANGULIZI Kadinali Robert Prevost atangazwa kuwa Papa mpya May 8, 2025 Erasto Masalu MAKADINALI kutoka kwenye kanisa la Sistine huko Vatican, wamemchagua Kardinali Robert Fancis Prevoat kutoka nchini Marekani kuwa kiongozi mpya wa Kanisa Katoliki Duniani (Papa). Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam…
KIMATAIFA SIASA TANGULIZI Bunge la Ulaya laitaka Tanzania kumuachia huru Lissu May 8, 2025 Erasto Masalu BUNGE la Ulaya limeitaka Serikali ya Tanzania kumfutia mashtaka na kumuachia huru Tundu Lissu, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), pamoja na kurejesha ushiriki wa chama hicho kwenye…
KIMATAIFA Waziri Mkuu wa Romania ajiuzulu May 6, 2025 Erasto Masalu WAZIRI Mkuu wa Romania Marcel Ciolacu amejiuzulu jana jioni, siku moja baada ya mwanasiasa wa upinzani wa mrengo mkali wa kulia kushinda duru ya kwanza ya uchaguzi wa marudio wa…