KIMATAIFA Watoto waliokuwa wanaokota kuni wabaini mafuvu 17 kanisani July 31, 2024 Erasto Masalu Mafuvu ya watu 17 yaliyokuwa yamezikwa ndani ya makasha ya chuma yamefukuliwa katika jengo linalodaiwa kuwa la kuabudia katikati mwa Uganda. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa… (endelea). Mafuvu hayo yamebainika baada…
KIMATAIFA TANGULIZI Kiongozi mkuu wa Hamas Ismail Haniyeh ameuawa July 31, 2024 Erasto Masalu TAARIFA iliyotolewa na Hamas imesema kuwa Haniyeh ameuawa katika shambulio lililofanywa na Wazayuni (Israel) mjini Tehran, Iran. Inaripiti Mitandao ya Kimaraifa. Katika taarifa yake Jumatano asubuhi, Hamas ilisema Haniyeh aliuawa…
KIMATAIFA Maelfu waandamana Venezuela kupinga ushindi wa Rais Maduro July 30, 2024 Erasto Masalu Vikosi vya usalama nchini Venezuela vimetumia mabomu ya machozi na risasi za mpira kuwatawanya waandamanaji walioingia mitaani kupinga matokeo ya uchaguzi yaliyompa ushindi rais Nicolas Maduro. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa…
KIMATAIFA Serikali yakataa kusajili chama cha Gen Z July 29, 2024 Erasto Masalu JARIBIO la watu kusajili vyama vya kisiasa nchini Kenya vyenye jina, Gen Z ili kuvuna wafuasi wa kisiasa kutokana kampeni zilizoanzishwa na vijana hao kupigania uongozi bora nchini zimezimwa na…
KIMATAIFA Ruto kuwalipia nauli Wakenya wanaokwenda kufanya kazi nje July 29, 2024 Erasto Masalu RAIS wa Kenya, William Ruto ameahidi kuwatafutia kazi pamoja na kuwalipia nauli ya ndege Wakenya waliopata kazi ughaibuni kwa lengo kuwatuliza vijana ambao wamekuwa wakimshinikiza ajiuzulu kwa kutotimiza ahadi alizotoa…
KIMATAIFA Kamala Harris achangiwa bilioni 534 za kampeni July 29, 2024 Erasto Masalu MAKAMU wa rais nchini Marekani na mgombeaji wa kiti cha urais, Kamala Harris amechangiwa Dola za Marekani 200 milioni (Sh 534.1 bilioni) za kufanya kampeni. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa… (endelea).…
KIMATAIFA Maduro ashinda Urais Venezuela kwa awamu ya tatu July 29, 2024 Erasto Masalu Rais wa Venezuela, Nicolas Maduro ameshinda uchaguzi uliofanyika jana Jumapili hatua inayomuwezesha kuongeza muda wa utawala wake kwa muhula wa tatu wa miaka sita. Inaripoti Mitandao wa Kimataifa … (endelea).…