KIMATAIFA Mawaziri Ghana mtegoni, watishia kufutwa kazi May 6, 2025 Erasto Masalu JOHN Mahama, Rais wa Ghana amewaonya mawaziri na wateule wengine zaidi ya 40 wa serikali yake kuwa watafutwa kazi ikiwa watashindwa kuweka wazi mali wanazomiliki ifikapo kesho Jumatano ya tarehe…
KIMATAIFA Trump asema hatawania urais kwa muhula wa tatu May 5, 2025 Erasto Masalu RAIS wa Marekani, Donald Trump amekanusha madai yanayodai anafikiria kugombea muhula wa tatu wa urais, hatua ambayo wataalamu wanakubali kuwa ni marufuku kwa mujibu wa Katiba ya Marekani. Inaripoti Mitandao…
KIMATAIFA Mbunge auawa kwa kupigwa risasi May 1, 2025 Erasto Masalu MBUNGE mmoja nchini Kenya ameuawa kwa kupigwa risasi na mtu asiyejulikana. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa …(endelea). Charles Ong’ondo Were alikuwa ametoka bungeni muda mchache tu kabla ya kushambuliwa akiwa ndani…
KIMATAIFA Kardinali Becciu ajiondoa kumchagua Papa mpya April 29, 2025 Erasto Masalu KARDINALI Giovani Angelo Becciu wa Serdegna ametangaza kujitoa kushiriki kwenye mkutano wa uchaguzi wa Papa mpya unaotarajia kufanyika tarehe 7 Mei 2025. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa … (endelea). Kardinali Giovani…
KIMATAIFA Amnesty yakosoa hatua za Trump akitimiza siku 100 madarakani April 29, 2025 Erasto Masalu SHIRIKA la Kimataifa la Kutetea Haki za Binaadamu la Amnesty International limetoa ripoti yake ya kila mwaka na kukosoa vikali hatua za rais wa Marekani, Donald Trump ambaye ametimiza siku…
KIMATAIFA TANGULIZI Mume wa Marehemu mwimbaji wa Injili ahukumiwa kunyongwa April 29, 2025 Erasto Masalu MAHAKAMA Kuu ya Abuja nchini Nigeria imemhukumu Peter Nwachukwu, mume wa aliyekuwa mwimbaji maarufu wa injili Osinachi, kunyongwa mpaka kufa baada ya kupatikana na hatia ya mauaji. Inaripoti Mitandao ya…
KIMATAIFA Matumizi ya kijeshi yaongezeka duniani kwa kiwango kikubwa April 28, 2025 Erasto Masalu MATUMIZI ya kijeshi ulimwenguni yameongezeka kwa kiwango kikubwa zaidi tangu kumalizika kwa Vita Baridi na kufikia dola 2.7 trilioni. Migogoro inayoongezeka duniani ndiyo inayochochea matumizi hayo. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa…
KIMATAIFA Makardinari kuchagua Papa mpya April 28, 2025 Erasto Masalu MAKARDINALI kutoka nchi mbalimbali ulimwenguni waliokusanyika mjini Vatican tangu kifo cha Papa Francis wanatarijiwa kukutana na kupanga tarehe rasmi ya kumpata Papa atakayekuwa kiongozi wa waumini wa Kanisa Katoriki duniani.…
KIMATAIFA Kesi ya Israel kuanza kusikilizwa April 28, 2025 Erasto Masalu MAHAKAMA ya juu ya Haki ya Umoja wa Mataifa hii leo imeanza kusikiliza madai kuhusiana na wajibu wa Israel katika kuhakikisha na kuwezesha uingizwaji wa msaada wa kibinadamu. Inaripoti Mitandao…
KIMATAIFA Trump: Rais wa Ukraine ana nia ya makubaliano April 28, 2025 Erasto Masalu RAIS wa Marekani Donald Trump amesema kwa sasa Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky anaonekana kuwa mtulivu na mwenye nia ya kutaka kufikia makubaliano ya amani. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa ……