KIMATAIFA Rwanda yawakamata maafisa sekta ya Madini April 28, 2025 Erasto Masalu RWANDA imewashikilia maafisa watatu wakuu wa Bodi ya Migodi, Petroli na Gesi, nchini humo pamoja na wafanyabiashara wanne wanaoshukiwa kuhusika na rushwa na matumizi mabaya ya mamlaka. Inaripoti Mitandao ya…
KIMATAIFA Mwanamke aishi hospitalini miaka 45 kwa kimakosa April 28, 2025 Erasto Masalu MWANAMKE mmoja mwenye usonji na ulemavu wa kujifunza, ambaye ni raia wa Sierra Leone na alipewa jina la Kasiba na mamlaka za eneo kwa usalama wake, adaiwa kuzuiliwa kimakosa katika…
HABARI MCHANGANYIKO KIMATAIFA TANGULIZI Shirika la Amnesty kuchunguza matukio ya wafuasi wa Chadema kupigwa Kisutu April 25, 2025 Erasto Masalu SHIRIKA la kimataifa la kutetea haki za binadamu, Amnesty International, limekutana na kufanya mahojiano na baadhi ya wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ambao walijeruhiwa mara baada ya…
KIMATAIFA Marekani kumkamata Traoré? April 25, 2025 Erasto Masalu KATIKA hali isiyo ya kawaida, jina la Kapteni Ibrahim Traoré, kiongozi kijana wa Burkina Faso anayejitambulisha kama mpigania haki za Waafrika, limeingia katika vichwa vya habari vya dunia, si kwa…
KIMATAIFA TANGULIZI Papa Francis kujifunza upya kuongea March 22, 2025 Erasto Masalu PAPA Francis (88) anaendelea kurejesha nguvu zake polepole hospitalini lakini analazimika “kujifunza tena kuzungumza” baada ya matumizi ya muda mrefu ya tiba ya oksijeni yenye mtiririko mkubwa, Kardinali Victor Manuel…
KIMATAIFA Trump: Uchumi wa Marekani upo katika kipindi cha mpito March 10, 2025 Erasto Masalu RAIS wa Marekani Donald Trump amekataa kueleza iwapo uchumi wa Marekani unakabiliwa na mdororo wa kiuchumi au kupanda kwa bei za bidhaa. Anaripoti Apaikunda Mosha, Marekani … (endelea). Akizungumza na…
KIMATAIFA TANGULIZI Papa Francis atoa kauli yake ya kwanza, awashukuru wanaomuombea March 7, 2025 Erasto Masalu PAPA Francis amewashukuru waumini na wasio waumini wa Kanisa Katoliki kwa kuendelea kumuombea afya njema tangu alipolazwa Februari 14,2025. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa, Rome Italia … (endelea). Papa Francis (88)…
HABARI ZA AFYA KIMATAIFA Korea Kusini kuchangia USD Mil 104 maboresho ya Muhimbili March 6, 2025 Erasto Masalu SERIKALI imedhamiria kuboresha Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa kuijenga upya, serikali ya Tanzania pamoja na Korea kusini kuchangia ujenzi wa mradi huo ili kuwezesha upatikanaji wa huduma zote ndani ya…
HABARI MCHANGANYIKO KIMATAIFA Waziri Chana afungua rasmi onyesha la wiki ya Ubunifu wa Italia February 11, 2025 Erasto Masalu WAZIRI wa Maliasili na Utalii Dk. Pindi Chana amefungua rasmi Onesho la wiki ya wabunifu wa Italia kituo cha Makumbusho ya Taifa jijini Dar es salaam. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar…
KIMATAIFA TANGULIZI Namibia wamlilia Sam Nujoma February 10, 2025 Erasto Masalu RAIS wa Namibia Namgolo Mbumba, ametangaza kwa masikitiko makubwa kifo cha mpambania uhuru wa Namibia Rais wa kwanza wa nchi hiyo Sam Nujoma. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam ……