KIMATAIFA TANGULIZI Kagame, Tshisekedi, uso kwa uso Dar es Salaam February 4, 2025 Erasto Masalu MARAIS wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC), wanatarajia kukutana Jumamosi tarehe 8 Februari jijini Dar es Salaam kujadili mgogoro unaoendelea Mashariki ya Jamhuri ya Demokrasia ya Kongo…
HABARI MCHANGANYIKO KIMATAIFA Rais wa Sierra Leone awasili nchini January 25, 2025 Erasto Masalu RAIS wa Jamhuri ya Sierra Leone, Julius Maada Bio, amewasili jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Kilele wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Nishati, unaotarajiwa…
KIMATAIFA Dk. Mpango: Marekani ina mchango mkubwa katika maendeleo January 10, 2025 Erasto Masalu MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Philip Mpango amesema Tanzania inathamini ushirikiano uliopo na Taifa la Marekani ambao umetoa mchango katika maendeleo ya sekta mbalimbali. Anaripoti…
KIMATAIFA Waziri Mkuu wa Canada kujiuzulu? January 6, 2025 Erasto Masalu JUSTIN Trudeau, Waziri Mkuu wa Canada, huenda akatangaza kujiuzulu ndani ya siku chache, kulingana na ripoti za vyombo vya habari. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa … (endelea). Anafikiria kujiuzulu kama kiongozi…
KIMATAIFA TANGULIZI Maafisa Korea Kusini wajaribu kumkamata Rais Yoon January 3, 2025 Erasto Masalu MAOFISA wa usalama nchini Korea Kusini, wamefanikiwa kuingia katika makazi ya rais mapema leo Ijumaa, wakijaribu kumkamata kiongozi aliyeondolewa madarakani Yoon Suk Yeol. Anaripoti Sylvia Mwehonzi wa DW…(endelea). Maofisa hao…
KIMATAIFA TANGULIZI Morocco kuwapa wanawake haki zaidi December 26, 2024 Erasto Masalu RABAT. Morocco inalenga kuwapa wanawake haki zaidi ya malezi pamoja na kupinga ndoa za wake wengi, katika mapitio ya kwanza ya kanuni za familia katika kipindi cha miaka 20, mawaziri…
KIMATAIFA Ukraine wakiri kufanya mauaji ya Jenerali wa Urusi na msaidizi wake mjini Moscow December 18, 2024 Erasto Masalu IDARA ya usalama ya Urusi imesema, kijana mwenye umri wa miaka 29 kutoka Uzbekistan amekamatwa akituhumiwa kwa mauaji ya Luteni Jenerali Igor Kirillov na msaidizi wake huko Moscow. Inaripoti Mitandao…
KIMATAIFA Lungu akwama kuwania urais Zambia December 12, 2024 Erasto Masalu Mahakama ya Katiba imetoa uamuzi kuwa, rais wa zamani wa Zambia, Edgar Lungu, hawezi kugombea tena urais kwa sababu ameshaongoza vipindi viwili vinavyoruhusiwa kisheria. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa … (endelea).…
HABARI ZA AFYA KIMATAIFA Wananchi Comoro wafurahia huduma madaktari wakitanzania November 30, 2024 Erasto Masalu KAMBI Tiba ya Madaktari Bingwa kutoka Tanzania nchini Comoro imeanza kwa mwitikio mkubwa wa wananchi wa nchini humo ambapo mamia wamejitokeza kupata huduma mbali mbali zinazotolewa kwa ushirikiano na madakatari…
KIMATAIFA Chama cha upinzani Namibia chaomba zoezi la kuhesabu kura lisitishwe November 29, 2024 Erasto Masalu CHAMA cha upinzani nchini Namibia kimeomba zoezi la kuhesabu kura lisitishwe baada ya uchaguzi wa taifa kukabiliwa na changamoto za kiufundi huju upigaji kura ukiendelea baada ya muda wa kufungwa…