Jumamosi hii kule Uingereza kutakuwa na mitanange mingi, lakini Chelsea vs Man United ndio mechi kubwa itakayopigwa siku hiyo huku kila timu ikitaka ushindi mnono.

Mechi kati ya Chelsea vs Manchester United ndani ya EPL Jumamosi, inakuja ikiwa na uzito mkubwa kutokana na msimamo wa ligi na malengo tofauti ya timu hizi mbili. Kwa mujibu wa hali ya sasa ya msimamo, Manchester United wako kwenye nafasi 3 ya ligi wakipambana kuimarisha nafasi yao ya Top 4 au Top 3, huku Chelsea wakiwa katika nafasi ya 6 wakihitaji ushindi ili kuendelea kushindana kwa nafasi za michuano ya Ulaya.

The Blues chini ya kocha mkuu Liam wanaingia kwenye mchezo wakihitaji ushindi kwani wametoka kupotez amechi nyingi kwenye ligi na inavyoonekana kama wasipokuwa makini wanaweza kukosa nafasi ya kushiriki michuano ya Ulaya msimu ujao.

Hata hivyo, changamoto yao imekuwa ni kukosa ufanisi wa kumalizia nafasi wanazounda, jambo ambalo limewafanya mara nyingi kupoteza pointi muhimu katika mechi kubwa. Katika mchezo huu, Chelsea watahitaji kuwa makini zaidi mbele ya lango ili kuhakikisha wanatumia nafasi watakazozipata. Suka jamvi kwenye mechi hii sasa.

Leo hii michezo ya Kasino ya Mtandaoni inakupa mkwanja cheza, Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao ujishindie pesa nyingi hapa. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.

Enzo Fernandez huenda akawepo kwenye mechi hii baada za kukosekana kwenye mechi iliyopita, sababu ikitajwa ni makosa ya kinidhamu huku wachezaji wengine kama vile Cucurella, Pedro Neto, Caisedo, Joao Pedro na wengine wakitaka ushindi siku ya leo.

Manchester United, wao wanaingia wakiwa na faida ya nafasi nzuri zaidi kwenye ligi na hali ya kujiamini. Mfumo wao wa mchezo mara nyingi hutegemea mashambulizi ya haraka (counter attack), ambapo wanatumia kasi ya wachezaji wao kuadhibu makosa ya wapinzani.

United ina wachezaji wenye viwnago vizuri kama vile Cunha, Mbeumo, Bruno, Casemiro na wengine ambao siku za hivi karibuni wamekuwa na mchango mkubwa ndani ya klabu hiyo.

Hata hivyo, United pia wamekuwa na changamoto ya uthabiti wa ulinzi, hasa wanapobanwa kwa muda mrefu na timu zinazomiliki mpira kama Chelsea. Hii inamaanisha watahitaji nidhamu kubwa ya kiufundi na umakini wa hali ya juu.

Kwa kuzingatia msimamo wa ligi, Manchester United wanaonekana kuwa na utulivu zaidi na mzigo mdogo wa presha ukilinganisha na Chelsea, lakini mechi kama hizi mara nyingi haziamuliwi na msimamo wa ligi bali na makosa madogo na ubora wa siku ya mchezo.

Chelsea wanacheza nyumbani na watakuwa na motisha kubwa ya kushinda ili kujiweka kwenye mbio za nafasi za juu, wakati United watajaribu kuendeleza nafasi yao nzuri kwenye msimamo.

Mara ya mwisho timu hizi kukutana, United aliondoka na ushindi, hivyo The Blues wanataka kulipa kisasi dhidi ya vijana hawa wa Carrick. Je nani ana nafasi kubwa ya kuondoka na ushindi pale Stamford Bridge?. Jisajili hapa.

About The Author

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

error: Content is protected !!