HABARI MCHANGANYIKO KIMATAIFA TANGULIZI Ushiriki wa Rais Samia G20 wainufaisha Tanzania November 24, 2024 Erasto Masalu USHIRIKI wa Rais Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa G20 uliofanyika hapa Rio de Janeiro, Brazil na kuhusisha nchi tajiri 19 duniani, Umoja wa Ulaya (EU) na Umoja wa Afrika…
KIMATAIFA SIASA TANGULIZI Samia kutikisa Brazil mkutano wa wakuu wa kundi la G20 November 17, 2024 Erasto Masalu RAIS Samia Suluhu Hassan amewasili nchini Brazil jana kuhudhuria mkutano wa Nchi Tajiri Duniani wa G20 imealikwa kwa mara ya kwanza. Anaripoti Mwandishi Wetu, Rio de Janeiro, Brazil … (endelea).…
HABARI MCHANGANYIKO KIMATAIFA Waziri Kijaji afanya mazungumzo na wadau wa COP29 November 16, 2024 Erasto Masalu WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Dk. Ashatu Kijaji amehimiza mataifa yaliyoendelea kuunga mkono juhudi za nchi zinazoendelea ili ziweze kutekeleza kikamilifu agenda ya matumizi…
KIMATAIFA Korea Kusini lawamani kukandamiza uhuru wa dini November 5, 2024 Erasto Masalu SERIKALI ya mitaa nchini Korea Kusini imefuta hafla kubwa ya kimataifa iliyokusudia kuwaleta pamoja washiriki 30,000 kutoka nchi 78, jambo ambalo limeibua mjadala mkali kuhusu uhuru wa kidini duniani. Anaripoti…
KIMATAIFA Chama tawala Botswana chaangushwa vibaya November 1, 2024 Erasto Masalu WAPIGAKURA nchini Botswana wamekikataa chama tawala cha muda mrefu cha nchi hiyo (BDP) katika matokeo ambayo yanaashiria tetemeko la ardhi la kisiasa katika taifa hilo lenye utajiri mkubwa wa almasi…
KIMATAIFA Mtaalamu wa kemia kiongozi mpya Hezbollah October 29, 2024 Erasto Masalu Hezbollah imemteua Amin Qassem, kuwa Katibu Mkuu wa kundi hilo, kurithi nafasi ya Hassan Nasrallah, aliyeuawa na majeshi ya Israel, mwezi mmoja uliopita. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa … (endelea). Nasrallah…
KIMATAIFA Israel yapiga marufuku UN kuhudumia wakimbizi wa Kipalestina October 29, 2024 Erasto Masalu BUNGE la Israel limepiga kura kupitisha sheria ya kupiga marufuku shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi wa Palestina (UNRWA). Sheria hiyo inaondoa kinga ya kisheria kwa wafanyakazi wa…
KIMATAIFA TANGULIZI Israel yaoshambulia Iran kwa njia ya anga October 26, 2024 Erasto Masalu JESHI la Israel limefanya mashambulizi kadhaa ya anga dhidi ya Iran mapema Jumamosi, kujibu kile jeshi lake linakiita “miezi ya mfululizo wa mashambulizi ” kutoka Tehran na washirika wake. Anaripoti…
KIMATAIFA ‘GEN Z’ wakwamisha mtandao mjadala wa muswada wa kuongeza muda October 25, 2024 Erasto Masalu BUNGE la Seneti limethibitisha kukumbana na matatizo ya kiufundi na mfumo wao wa barua pepe, kufuatia wimbi la mawasilisho yaliyotolewa na Wakenya kuhusu muswada wa Katiba ya Kenya (Marekebisho) (Nambari…
KIMATAIFA Wasiwasi waibuka M-23 wakidhibiti mji muhimu Kivu October 21, 2024 Erasto Masalu WAPIGANAJI wa kundi la M-23, wameuteka mji muhimu wa Kalembe wilayani Masisi na kusonga mbele hadi wilaya ya Walikale mkoani Kivu Kaskazini. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa, Kivu, DR Congo ……