KIMATAIFA Maporomoko yaua 1,000 Sudan September 2, 2025 Erasto Masalu WATU 1000 wamepoteza maisha na mmoja kunusurika kutokana na maporomoko ya ardhi katika milima ya Marra, magharibi mwa Sudan, kutokana na mvua kubwa zilizonyesha katika mkoa wa Darfur. Inaripoti Mitandao…
KIMATAIFA Wamarekani wapata leseni kuchimba madini DRC September 2, 2025 Erasto Masalu KAMPUNI ya KoBold Metals ya nchini Marekani inayoungwa mkono na Bill Gates na Jeff Bezos, imepata leseni saba za uchimbaji katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC). Inaripoti Mitandao ya…
KIMATAIFA UN walia kuzorota haki za binadamu Burundi September 2, 2025 Erasto Masalu WATAALAM wa Umoja wa Mataifa (UN), wameeleza wasiwasi wao juu ya kuongezeka kwa ukiukwaji wa haki za binadamu nchini Burundi, hususani mashambulizi dhidi ya wapinzani wa kisiasa. Inaripoti Mitandao ya…
KIMATAIFA Tetemeko laua 800 Afghanistan, Pakistan September 1, 2025 Erasto Masalu WATU 800 wamefariki dunia na wengine kadhaa baada ya makazi yao kukumbwa na tetemeko la ardhi lenye kipimo cha 6.0 Mw lililitokea katika mpaka wa Afghanistan na Pakistan. Inaripoti Mitandao…
KIMATAIFA Uingereza yafunga ubalozi wake Misri September 1, 2025 Erasto Masalu UINGEREZA imefunga kwa muda ubalozi wake mjini Cairo nchini Misri, baada ya mamlaka ya nchi hiyo, kuondoa vizuizi vya usalama nje ya jengo hilo,huku kukiwa na mzozo wa kidiplomasia kuhusu…
KIMATAIFA Baltasar Engonga wa video za ngono ahukumiwa miaka 8 jela August 28, 2025 Erasto Masalu MAHAKAMA ya Mkoa wa Bioko nchini Equatorial Guinea, imemhukumu kifungo cha miaka minane gerezani, Baltasar Ebang Engonga, mkuu wa zamani wa Shirika la Taifa la Upelelezi wa Masuala ya Kifedha…
KIMATAIFA Kabila anyongwe – mwendesha mashitaka DRC August 23, 2025 Erasto Masalu ALIYEKUWA rais wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo (DRC), Joseph Kabila, anayeshitakiwa kwa uhalifu wa kivita na uhusiano wake na kundi la waasi la M23, “anastahili kunyongwa.” Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea).…
KIMATAIFA Waaandamanaji waingia mtaani kumpinga Netanyahu August 10, 2025 Erasto Masalu MAELFU kwa maelfu ya waandamanaji wameingia mitaani mjini Tel Aviv, Jumamosi jioni, kupinga mpango wa Benjamin Netanyahu, waziri mkuu wa Israel, kuzidisha vita vya Gaza na kutaka kulikalia eneo hilo.…
KIMATAIFA Watu 18 wafa kwa njaa Ukanda wa Gaza July 21, 2025 Erasto Masalu WIZARA ya Afya ya Gaza inayoendeshwa na Hamas imesema, imerekodi vifo 18 “kutokana na njaa” katika muda wa saa 24 zilizopita. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa, Gaza … (endelea). Siku ya…
KIMATAIFA MAKALA & UCHAMBUZI Vita vya Gaza: Hamas waapa kufia kwenye ardhi yao July 12, 2025 Erasto Masalu KUNDI la wanamgambo wa Hamas, wametangaza kutounga mkono makubaliano yoyote ya usitishaji mapigano yatakayoruhusu jeshi la Israel kuendelea kuwepo Ukanda wa Gaza. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Taarifa kutoka mjini…