KIMATAIFA Chakwera adai ana ushahidi wa kura za wizi September 22, 2025 Erasto Masalu CHAMA Tawala cha Malawi Congress kinachoongozwa na Rais Lazarus Chakwera (MCP), kimedai kina ushahidi juu ya Kura za Wizi, wakati ambapo matokeo ya awali yanaashiria kuwa kinaelekea kupoteza Madaraka katika…
KIMATAIFA Netanyahu acharuka Pelestina kutambuliwa September 22, 2025 Erasto Masalu WAZIRI Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, amesema kuwa kuanzishwa kwa taifa la Palestina ‘hakutatokea’, akijibu hatua ya mataifa matatu ya Jumuiya ya Madola—Uingereza, Canada na Australia—kuitambua rasmi Palestina kama taifa…
KIMATAIFA Wanadiplomasia wa Mali watimuliwa Ufaransa September 20, 2025 Erasto Masalu UFARANSA imesitisha ushirikiano wa kukabiliana na ugaidi na Mali na kuamuru wafanyakazi wawili wa Ubalozi wa Mali kuondoka. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa … (endelea). Hatua hiyo ilichukuliwa baada ya Mali…
KIMATAIFA Chama tawala Malawi walalamikia kuhujumiwa September 20, 2025 Erasto Masalu CHAMA Tawala nchini Malawi cha Congress Party (MCP) kimesema kuwa kimegundua dosari katika kuhesabu kura katika karibu nusu ya wilaya za nchi hiyo baada ya uchaguzi wa wiki hii. Inaripoti…
KIMATAIFA Vigogo wajitangazia ushindi Malawi September 19, 2025 Erasto Masalu VYAMA viwili vya siasa nchini Malawi – Malawi Congress Party (MCP) na Democratic Progressive (DP), vimejitangaza washindi wa kiti cha urais nchini humo. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa … (endelea). Hata…
BIASHARA HABARI MCHANGANYIKO KIMATAIFA ATCL yatangaza safara ya Dar-Lagos kwa dola 850 September 13, 2025 Erasto Masalu KAMPUNI ya Ndege Tanzania (ATCL) @airtanzania_atcl imetangaza rasmi uzinduzi wa Mchongo Na. 29, safari mpya za moja kwa moja kati ya Dar es salaam na Lagos, Nigeria. Anaripoti Zakia Nanga,…
KIMATAIFA Rais wa zamani wa Brazil ahukumiwa mika 27 jela September 12, 2025 Erasto Masalu MAHAKAMA nchini Brazil imemhukumu kifungo cha miaka 27 na miezi mitatu jela aliyekuwa Rais wa Taifa hilo, Jair Bolsonaro, baada ya kumkuta na hatia ya kupanga njama za kupindua Serikali.…
KIMATAIFA Félicien Kabuga kurejeshwa Rwanda? September 11, 2025 Erasto Masalu MAHAKAMA ya Kimataifa ya Mauaji ya Kimbari ya Rwanda (ICTR), iliyosalia kusikiliza kesi zilizoachwa na Mahakama hiyo mjini Arusha, huenda ikamrejesha nchini mwake, Felicien Kabuga. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa ……
KIMATAIFA Mke wa Rais Ivory Coast ajitosa kwenye mbio za urais September 10, 2025 Erasto Masalu MKEWA wa rais wa zamani wa Ivory Coast, Simone Gbagbo (76), amejitosa katika kinyang’anyiro cha urais. Inaripoti Mitandao ya Kimatiafa … (endelea). Jina la Simone, limeonekana katika orodha ya wagombea…
HABARI ZA MICHEZO KIMATAIFA Mike Tyson kurudi ulingoni na Mayweather 2026 September 5, 2025 Erasto Masalu MABINGWA wa zamani wa dunia katika Masumbwi, Mike Tyson na Floyd Mayweather wanatarajiwa kurudi ulingoni kwa pambano la ridhaa la maonyesho mwaka 2026. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa … (endelea). Tyson…