HABARI ZA MICHEZO Meridianbet yatoa msaada Mbezi August 17, 2024 Erasto Masalu Kama ilivyo kawaida kampuni ya Meridianbet leo wamefika eneo la Mbezi jiji Dar-e-salaam na kutoa msaada wa vifaa vya michezo kwenye eneo hilo. Meridianbet wamekua wakifanya utaratibu huu kwa miaka…
KIMATAIFA Wanafunzi 20 wa chuo kikuu watekwa August 17, 2024 Erasto Masalu ZAIDI ya wanafunzi 20 wa Chuo Kikuu cha Nigeria wametekwa na watu wenye silaha waliovizia magari yao kaskazini mwa nchi hiyo. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa … (endelea). Msemaji wa jeshi…
HABARI MCHANGANYIKO Mzee wa Masaptasapta ashinda kesi, Azam kumlipa mil. 100 August 17, 2024 Erasto Masalu MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imeamuru Azam Media Group kumlipa kiasi cha Sh. 100 milioni mpishi maarufu nchini Master Chef Fred Uisso maarufu kama ‘Mzee wa Maspatasapta’ baada ya kushinda…
BIASHARA Habari ya mjini ni kucheza kasino, pesa nje nje August 17, 2024 Erasto Masalu SAFIRIA ndoto ya maisha yako kwa kucheza kasino ya mtandaoni, pale Meridianbet kuna promosheni ya Expanse ambayo inatoa mamilioni kwa washindi. Jisajili sasa upate bonasi ya ukaribisho ya Tsh 3,000,000/=…
HABARI ZA MICHEZO Manchester United kuifungua EPL leo August 16, 2024 Erasto Masalu KLABU ya Manchester United itafungua msimu mpya wa ligi kuu ya Uingereza leo ambapo wataikaribisha klabu ya Fulham katika dimba la Old Trafford katika mchezo wa kwanza wa ligi hiyo…
HABARI MCHANGANYIKO Wakili Chuwa awasilisha maombi ya clip ya video kuletwa mahakamani August 16, 2024 Erasto Masalu WAKILI wa Utetezi Edward Chuwa anayewatetea walalamikiwa Bhartat Nathwan na Sangita Bharat wanaotuhumiwa katika kesi ya kujeruhi na kutoa lugha chafu ya matusi, amewasilisha maombii mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu,…
Uncategorized Sloti ya Veni Vidi Vici inatajirisha kirahisi August 16, 2024 Erasto Masalu FURAHIA mamilioni ya kutosha ukicheza sloti ya Kasino ya Mtandaoni ikielezea Roma ya Kale! Cheza sloti ya Veni Vidi Vici! Mchezo huu wa Sloti ni maalum kwa wafuasi wa stori…
KIMATAIFA Binti wa Shinawatra achaguliwa waziri mkuu mpya August 16, 2024 Erasto Masalu BUNGE la Thailand limemchagua Paetongtarn Shinawatra, binti wa bilionea na kiongozi wa zamani wa nchi hiyo Thaksin Shinawatra, kuwa waziri mkuu. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa…(endelea). Akiwa na umri wa miaka…
HABARI MCHANGANYIKO Shangwe Ziwa Tanganyika likifunguliwa August 16, 2024 Erasto Masalu WAZIRI wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega amezindua zoezi la uvuvi katika Ziwa Tanganyika baada ya kupumzishwa kwa shughuli za uvuvi katika ziwa hilo kwa miezi mitatu. Anaripoti Mwandishi Wetu,…
SIASA TANGULIZI Makonda arejea, akagua uwanja wa ndege Kisongo August 16, 2024 Erasto Masalu BAADA ya ukimya wa zaidi ya siku 33, Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda amerejea katika kituo chake cha kazi leo tarehe 16 Agosti na kumaliza minong’ono iliyokuwa imeenea…