HABARI MCHANGANYIKO Hali ya hewa yakwamisha Dreamliner kutowasili Z’bar August 19, 2024 Erasto Masalu Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) ndege aina ya Boeing B787-8 Dreamliner, ambayo ilitarajiwa kutua kwa mara ya kwanza kwa uzinduzi leo tarehe 19 Agosti 2024, katika Uwanja wa Ndege…
HABARI ZA AFYA Jubilee Insurance yazindua kampeni ya ‘Kuna kuishi, na Kuna kuishi Huru’ August 19, 2024 Erasto Masalu KAMPUNI ya Jubilee Insurance imezindua kampeni kabambe iliyopewa jina la ‘Kuna kuishi, na Kuna kuishi Huru’, inayolenga kutoa elimu kwa wananchi juu ya umuhimu wa bima kwa maisha ya kila…
HABARI MCHANGANYIKO TANGULIZI ‘Malaya’ amng’oa RPC Dodoma August 19, 2024 Erasto Masalu SAKATA la binti anayedaiwa kubakwa na kulawitiwa na vijana watano, limechukua sura mpya baada ya Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini – IGP, Camilius Wambura kumhamisha Kamanda wa Polisi mkoa…
KIMATAIFA Peter Mutharika kuwania urais Malawi 2025 August 19, 2024 Erasto Masalu CHAMA kikuu cha upinzani nchini Malawi cha Democratic Progress jana Jumapili kimemuidhinisha Rais wa zamani taifa hilo, Peter Mutharika kuwa mgombea wake katika uchaguzi wa urais mwaka ujao. Inaripoti Mitandao…
BIASHARA Exim yatangaza washindi 10 wa kampeni ya kidigital ya I‘TAP TAP UTOBOE’ August 19, 2024 Erasto Masalu BALOZI wa kampeni ya Kijiditali ya Tap Tap Utoboe ya Exim Bank Tanzania, Idris Sultan (kati) akitangaza washindi 10 wa droo ya pili ya mwezi yenye lengo la kuwahamasisha wateja…
HABARI MCHANGANYIKO RITA yatoa vyeti 195,000 vya uzazi na vifo ndani ya miezi miwili August 18, 2024 Erasto Masalu WAKALA wa Usajili , Ufilisi na Udhamini (RITA) imesema kuwa katika kipindi cha miezi miwili iliyopita imepokea jumla ya maombi 198,972 ya vyeti vya vizazi na vifo na kati ya…
HABARI MCHANGANYIKO TNBC yawataka Watz kujiandaa na uchumi wa kidijitali August 18, 2024 Erasto Masalu WAKALA wa Usajili , Ufilisi na Udhamini (RITA) imesema kuwa katika kipindi cha miezi miwili iliyopita imepokea jumla ya maombi 198,972 ya vyeti vya vizazi na vifo na kati ya…
HABARI MCHANGANYIKO PBZ yaongeza faida kwa asilimia 18 katika nusu ya kwanza 2024 August 18, 2024 Erasto Masalu BENKI ya Watu wa Zanzibar (PBZ Bank) imetangaza ripoti yake ya kifedha ya nusu ya kwanza ya mwaka 2024, inayoonesha mafanikio makubwa katika nyanja mbalimbali ikiwemo ongezeko la faida ya…
HABARI MCHANGANYIKO Baraza la vyama lataka wasimamizi wafundwe wasiharibu uchaguzi August 18, 2024 Erasto Masalu BARAZA la Vyama vya Siasa Tanzania, limetaka wasimamizi wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa wapewe mafunzo ili wausimamie vizuri kwa ajili ya kuenzi maono ya Rais Samia Suluhu Hassan, ya…
HABARI ZA AFYA Je, unawaza kuwa milionea? beti na Meridianbet leo August 17, 2024 Erasto Masalu Ligi mbalimbali Duniani kote zimerejea na Jumamosi ya leo, kuna maokoto mengi ndani ya Meridianbet. Suka mkeka wako leo na uanze kutengeneza mkwanja wa maana. Tukianza na EPL leo mapema…