BIASHARA HABARI MCHANGANYIKO Samia afungua skuli iliyojengwa na NMB kwa mil. 800 August 20, 2024 Erasto Masalu RAIS Samia Suluhu Hassan amefungua Skuli ya Maandalizi ya Tasani – Visiwani Zanzibar ambayo Benki ya NMB imegharamia ujenzi wake na uwekaji wa samani ikiwemo viti, meza na madawati kwa…
SIASA Chadema wamvaa Mchengerwa vijiji, vitongoji kufutwa Ngorongoro August 20, 2024 Erasto Masalu CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeitaka Serikali ifute amri kuwaondoa wananchi wote wa Tarafa ya Ngorongoro kwenye ardhi yao kwa kufuta kata, vijiji na vitongoji vyote vya tarafa hiyo…
KIMATAIFA Mshukiwa wa mauaji wanawake 42 atoroka mahabusu August 20, 2024 Erasto Masalu RAIA wa Kenya aliyekiri kuhusika na mauaji ya wanawake 42 ambao baadhi yao miili yao ilipatikana ikiwa imetupwa kwenye dampo la Kware jijini Nairobi, ametoroka gerezani. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa…
KIMATAIFA Wakulima wa bangi 4,800 wasamehewa August 20, 2024 Erasto Masalu MFALME wa Morocco Mohammed wa Sita amewasamehe zaidi ya wakulima 4,800 wanaoshtumiwa kulima bangi kinyume cha sheria. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa… (endelea). Wizara ya sheria ya taifa hilo imesema jana…
SIASA Simiyu yahamasisha wananchi kushiriki uchaguzi serikali za mitaa August 20, 2024 Erasto Masalu VIONGOZI wa Mkoa wa Simiyu wameanza kuhamasisha wananchi mkoani humo kujiandikisha katika daftari la wapiga kura, ili waweze kushiriki uchaguzi wa Serikali za Mitaa, unaotarajiwa kufanyika tarehe 27 Novemba 2024.…
HABARI MCHANGANYIKO TANGULIZI TLS yaunda kamati kumaliza mgogoro wa Ngorongoro, Dk. Nshala kuongoza jopo August 20, 2024 Erasto Masalu BARAZA la Uongozi la Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) limeunda Kamati Maalum ya kufuatilia mgogoro wa baina ya wakazi asilia (wamasai) katika wilaya ya Ngorongoro na mamlaka za Serikali ili…
HABARI MCHANGANYIKO NFRA yajivunia kufikisha mauzo ya nafaka tani mil. 1.7 August 20, 2024 Erasto Masalu IMEELEZWA kuwa katika kipindi cha miaka mitatu iliyopita, uwezo wa Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) ulikuwa kuuza wastani wa tani 50,000 za nafaka, lakini…
HABARI MCHANGANYIKO Wadau wahimizwa kutoa maoni yao na kutekeleza maazimio ya mkutano ipasavyo August 19, 2024 Erasto Masalu MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), imekutana na wadau kutoka sekta mbalimbali nchini ili kujipanga na Utabiri wa Msimu wa VULI 2024 katika ukumbi wa PSSSF, jijini Dodoma, tarehe…
BIASHARA Kuwa mshua na sloti ya Planet Power August 19, 2024 Erasto Masalu Kutana na Sloti inayotema pesa kama mashine za ATM, Planet Power Kasino kutoka Meridianbet Kasino ya Mtandaoni, kila ukicheza UNASHINDA Mamilioni. Jisajili hapa ubadili maisha yako. Ukiacha michezo mingine bora…
HABARI ZA MICHEZO TRA yajitosa Ndondo Cup, yatoa Mil 40 August 19, 2024 Erasto Masalu MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imetangaza udhamini wa TZS milioni 40.5 kwenye mashindano ya Ndondo Cup, kwa kushirikiana na Uongozi wa Michezo wa Shadaka. Udhamini huu muhimu unaashiria dhamira ya…