HABARI ZA AFYA Mloganzila yakamilisha maandalizi kambi ya upasuaji wa nyonga na magoti August 21, 2024 Erasto Masalu HOSPITALI ya Muhimbili tawi la Mloganzila, imewataka watanzania wenye shida ya magoti na nyonga wajitokeze kwaajili ya kambi ya upasuaji kutoka kwa wataalamu wa ndani watakaoshirikiana na wabobezi kutoka nchini…
HABARI MCHANGANYIKO TMA kuzifundisha nchi za Afrika matumizi ya rada kwenye utabiri August 21, 2024 Erasto Masalu MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), inatarajia kuendesha mafunzo ya rada kwa nchi za Afrika Mashariki pamoja na zile za Ukanda wa Kusini mwa Afrika ambayo yataanza kufanyika tarehe…
HABARI MCHANGANYIKO Dk. Mpango aagiza TARURA kukarabati barabara Kondoa August 21, 2024 Erasto Masalu Makamu wa Rais Dk. Philip Mpango ameagiza Wakala wa Barabara Mijini na Vijiji (TARURA) kufanya ukarabati wa Barabara ya Ntundwa – Hurui ya Wilayani Kondoa ili kuwarahisishisa wananchi shughuli za…
KIMATAIFA Meli yazama ikiwa na abiria 300, miili 20 yaopolewa August 21, 2024 Erasto Masalu ZAIDI ya watu 300 wanahofiwa kufa maji katika ajali ya meli iliyotokea usiku wa Jumamosi kuamkia Jumapili tarehe 18 Agosti kwenye Mto Lukenie. Ajali hiyo imetoke katika eneo la Kutu,…
HABARI MCHANGANYIKO Polisi 5 wanaodaiwa kumtorosha mfungwa aliyeua wanawake 42, waburuzwa mahakamani August 21, 2024 Erasto Masalu MAOFISA watano wa polisi wanaotuhumiwa kumsaidia mfungwa anayehusishwa na mauaji ya wanawake 42 kutoroka gerezani jijini Nairobi, wamefikishwa mahakamani. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa … (endelea). Hatua hiyo inajiri wakati huu…
HABARI MCHANGANYIKO RITA yawataka Watanzania kusajili wosia kuepuka migororo katika familia August 21, 2024 Erasto Masalu MKUU wa Mkoa wa Mtwara, Kanali Patrick Sawala amewataka makatibu tawala wa wilaya na maofisa ustawi wa jamii katika halmashauri zote za mikoa ya Lindi, Mtwara na Ruvuma kuhamasisha wananchi…
HABARI ZA MICHEZO Washindi NBC ‘Shinda mechi zako kinamna yako’ walamba mil. 40 August 20, 2024 Erasto Masalu BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC) imekabidhi zawadi zenye jumla ya Sh 40 milioni kwa washindi wa kampeni yake ya ‘Shinda mechi zako Kinamna yako’ inayolenga kuchochea ukuaji wa uchumi…
HABARI ZA MICHEZO NBC yaja na tuzo ya mchezaji bora wa mechi, yaahidi makubwa August 20, 2024 Erasto Masalu MDHAMINI Mkuu wa Ligi Kuu ya NBC, Benki ya NBC imesema mpango mpya wa utoaji wa tuzo kwa wachezaji bora wa kila mechi za ligi hiyo ni mwendelezo wa jitihada…
BIASHARA TCB yaahidi kuwezesha wakulima kuuza mazao Ulaya, Marekani August 20, 2024 Erasto Masalu BENKI ya Biashara ya Tanzania (TCB) imesema itaendelea kuunga mkono juhudi za serikali kwa kuhakikisha wakulima wadogo na wa kati kupata mikopo itakayowawezesha kuzalisha kwa tija mazao yao na kuyaongezea…
HABARI MCHANGANYIKO Bilioni 366 kupeleka umeme kwenye vitongoji 3,060 August 20, 2024 Erasto Masalu JUMLA ya Sh 366 bilioni zinatarajiwa kutumika kutekeleza mpango wa kupeleka umeme kwenye vitongoji 3,060 vilivyopo katika majimbo 15 katika awamu kwa kwanza. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Hayo…