BALOZI wa kampeni ya Kijiditali ya Tap Tap Utoboe ya Exim Bank Tanzania, Idris Sultan (kati) akitangaza washindi 10 wa droo ya pili ya mwezi yenye lengo la kuwahamasisha wateja wa benki hiyo kufanya miamala yao ya malipo kwa kutumia simu za mkononi na mtandao ili kujishindia zawadi mbalimbali ziwemo fedha taslimu, pikipiki, bajaji na gari mpya. Kushoto ni Thuweiba Bakary, Afisa wa benki hiyo kutoka Idara ya Huduma Mbadala za kibenki na Kidijitali, na Lucy Katamba, Mkaguzi na Mdhibiti wa michezo ya kubahatisha kutoka Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania wakiwa katika droo hiyo iliyofanyika tarehe 16 Agosti, 2024 katika Tawi la Exim Bank Masaki jijini Dar es Salaam. Share this… Facebook Pinterest Twitter Linkedin Whatsapp About The Author Erasto Masalu See author's posts Post navigation Habari ya mjini ni kucheza kasino, pesa nje nje Kuwa mshua na sloti ya Planet Power