BIASHARA Njia 243 za kuwa tajiri kwenye sloti ya ODD One Out August 15, 2024 Erasto Masalu Wakati ambao wengi wanasubiri kuanza kwa msimu mpya wa Ligi duniani kote, wajanja wanazidi kupiga pesa kirahisi Zaidi, na Sloti ya ODD ONE OUT. Jisajili hapa kisha upate bonasi ya…
BIASHARA NBC yazindua huduma ya miamala ya fedha bila kuwa na akaunti August 15, 2024 Erasto Masalu BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC) imetambulisha rasmi huduma yake mpya ya wakala wa pesa kupitia benki ambayo inamruhusu mteja asie na akaunti ya benki hiyo kuweza kufanya miamala ya…
HABARI MCHANGANYIKO Ombi la wakili wa utetezi kesi ya wanandoa kujeruhi lagonga mwamba August 15, 2024 Erasto Masalu Na MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam imekataa ombi la wanandoa Bharat Nathwan (57) na Sangita Bharat (54) la kutaka shahidi Kiran Ratilal awasilishe kipande kifupi cha video…
SIASA Rais awataka mawaziri wajiongeze August 15, 2024 Erasto Masalu RAIS Samia Suluhu Hassan amewataka mawaziri na watendaji wengine anaowateua kwenye nyadhifa mbalimbali wajionge pindi wanapokutana na suala lisilohusu taaluma wasizozisomea. Anaripoti Faki Sosi, Dar es Salaam…. (endelea). Rais Samia…
BIASHARA Benki ya Exim yaadhimisha Miaka 27 ya kuwahudumia watanzania August 15, 2024 Erasto Masalu BENKI ya Exim Tanzania imeadhimisha miaka 27 tangu kuanzishwa kwake katika safari iliyojaa mafanikio, ubunifu, na huduma bora kwa wateja wake. Ikiwa na kaulimbiu ‘Miaka 27 ya Kukupa Kipaumbele’, inaangazia…
HABARI ZA AFYA Wanaume waongoza kwa maambukizi ya M-Pox kupitia ngono August 15, 2024 Erasto Masalu IMEELEZWA kuwa wanaume wanaongoza kwa maambukizi ya ugonjwa wa homa ya nyani (M-Pox) huku wengi wao wakiambukizwa kupitia ngono. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa… (endelea). Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema…
HABARI MCHANGANYIKO EACOP kuziinua kiuchumi kaya zilizoguswa na mradi bomba la mafuta August 15, 2024 Erasto Masalu MRADI wa bomba la kusafirisha Mafuta Ghafi la Afrika ya Mashariki (EACOP) umeanzisha programu ya kuzisaidia kaya ambazo ardhi yao limepita bomba la mradi huu. Lengo la programu hii ni…
SIASA Mabosi TAKUKURU, NIDA, Ikulu waguswa panga pangua ya Samia August 14, 2024 Erasto Masalu RAIS Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi na uhamisho wa viongozi mbalimbali ikiwemo uteuzi wa katibu tawala wa mkoa na naibu makatibu wakuu. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea).…
SIASA Samia afagia ofisi ya AG, Hamza amrithi Feleshi August 14, 2024 Erasto Masalu RAIS Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi na uhamisho wa viongozi mbalimbali ikiwemo wa Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Wakili Mkuu wa Serikali na Jaji wa Mahakama…
SIASA TANGULIZI Samia apangua tena mawaziri, Kabudi, Lukuvi ndani, Ummy, Kairuki nje August 14, 2024 Erasto Masalu RAIS Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi na uhamisho wa viongozi mbalimbali ikiwemo mawaziri wanne. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Jumatano na Katibu Mkuu Kiongozi…