HABARI MCHANGANYIKO Dawasa kufunga dira 65,000 za lipa kabla ya matumizi Dar March 11, 2025 Erasto Masalu MAMLAKA ya Maji Safi na Mazingira Dar es salaam (DAWASA) imesema kuwa ufungaji wa dira za aina ya lipa kabla ya matumizi zitasaidia kwa kiasi kikubwa cha malimbikozo ya mademi…
HABARI ZA AFYA Watanzania wawili wamegundulika kuwa na virusi vya Mpox March 11, 2025 Erasto Masalu WAZIRI wa Afya, Jenista Mhagama, amethibitisha kuwa wahisiwa wawili wana maambukizi ya virusi vinavyosababisha ugonjwa wa Mpox baada ya sampuli zao kuchukuliwa na kupelekwa maabara ya Taifa kwa chunguzi, mnamo…
HABARI MCHANGANYIKO Faru weusi waongezeka kwa 40% Ngorongoro March 10, 2025 Erasto Masalu MAMLAKA ya Hifadhi ya eneo la Ngorongoro (NCAA) imefanikiwa kudhibiti ujangili wa wanyama pori na kusababisha kuongezeka kwa asilimia 40 ya faru weusi katika hifadhi hiyo. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma…
HABARI MCHANGANYIKO Mramba afafanua mradi wa umeme kutoka Ethiopia March 10, 2025 Erasto Masalu KATIBU Mkuu wa Wizara ya Nishati, Felchesmi Mramba ameeleza kuwa moja ya changamoto kubwa inayoikumba mikoa ya kaskazini mwa Tanzania ni upungufu wa msongo wa umeme (voltage drop), hali inayosababishwa…
BIASHARA DC Mwangwala elimu ya kodi itaisaidia taifa March 10, 2025 Erasto Masalu MKUU wa Wilaya ya Rombo, Raymond Mwangwala, amesema kuwa endapo wananchi wataelewa umuhimu kulipa kodi na athari za biashara za magendo nchi itakuwa salama. Anaripoti Mwandishi Wetu, Kilimanjaro … (endelea).…
BIASHARA Cat Purry kasino mtandaoni inayokupa malipo makubwa March 10, 2025 Erasto Masalu Huenda umewahi kuona au kusikia stori nyingi kuhusu paka, Meridianbet kasino ya mtandaoni inakuletea mkutano na paka wa kuvutia wanaowapa wachezaji zawadi za kasino. Kazi yako ni kuwakusanya tu. Cat…
HABARI MCHANGANYIKO HABARI ZA AFYA Asilimia 22 ya vijana wanakumbwa na magonjwa yasiyo ya kuambukizwa March 10, 2025 Erasto Masalu ASILIMIA 22 ya vijana wanakabiliwa na magonjwa yasiyokuwa ya kuambukizwa hivyo ni muhimu kukata bima ya afya kwa ajili ya usalama wao pindi watakapokumbwa na magonjwa hayo. Anaripoti Danson Kaijage…
HABARI MCHANGANYIKO TANGULIZI TMA yatangaza uwepo wa Kimbunga ‘JUDE’ rasi ya Msumbiji March 10, 2025 Erasto Masalu MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) inatoa taarifa ya uwepo wa kimbunga “JUDE” katika Bahari ya Hindi eneo la Rasi ya Msumbiji. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam ……
HABARI ZA AFYA Wanachama wa NHIF waruhusiwa kutumia NIDA kupata huduma March 10, 2025 Erasto Masalu MKURUGENZI Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Dk. Irene Isaka amesema kwa sasa mwanachama wa mfuko wa NHIF halazimiki kuwa na kadi ya bima, kwani kwa…
KIMATAIFA Trump: Uchumi wa Marekani upo katika kipindi cha mpito March 10, 2025 Erasto Masalu RAIS wa Marekani Donald Trump amekataa kueleza iwapo uchumi wa Marekani unakabiliwa na mdororo wa kiuchumi au kupanda kwa bei za bidhaa. Anaripoti Apaikunda Mosha, Marekani … (endelea). Akizungumza na…