BIASHARA HABARI MCHANGANYIKO Mbogamboga, vitunguu yaingiza Mil 370 March 13, 2025 Erasto Masalu MAZAO ya Mbogamboga pamoja na vitunguu vinavyozalishwa nchini Tanzania ni sehemu ya maendeleo na kuchangia pato la taifa kwa kipindi cha miaka 4 ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan.…
SIASA Watanzania watakiwa kuipiga chini CCM March 13, 2025 Erasto Masalu MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF) Taifa (Bara), Omar Dunga amepokelewa katika wilaya ya Kondoa Mkoani Dodoma huku akiwataka Watanzania kufanya mabadiliko ya kuwachagua wabunge na madiwani wanaotokana na…
HABARI MCHANGANYIKO Majaliwa azindua kituo cha mabasi Nzega Mjini March 13, 2025 Erasto Masalu WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa ameipongeza halmashauri ya Nzega kwa uamuzi wa ujenzi wa kituo kikubwa cha mabasi Nzega mjini ambacho ujenzi wake umekamilika kwa asilimia 100. Anaripoti Apaikunda Mosha, Tabora…
HABARI ZA MICHEZO Kwenye Europa ndipo kwa kupiga pesa leo March 13, 2025 Erasto Masalu JE, unajua kuwa leo hii mechi mbalimbali za EUROPA zinaendelea hivyo nafasi ya wewe kutusua na wakali wa ubashiri ipo hapa. Suka jamvi lako la ushindi sasa na Meridianbet. Eintracht…
SIASA TANGULIZI ACT yabadili mwelekeo wa kufanya siasa March 13, 2025 Erasto Masalu MWENYEKITI wa Chama cha ACT Wazalendo Taifa, Othman Masoud amesema chama hicho kimeamua kubadili mwelekeo wa kufanya siasa hapa nchini kutoka katika siasa za maridhiano kwasababu siasa zinazohitajika kwa wakati…
BIASHARA Zama baharini kusaka utajiri kwenye kasino ya Lucky Dolphin March 12, 2025 Erasto Masalu Unambiwa bahari imebeba viumbe vingi vya ajabu, samaki, majini na madini, lakini pia rasilimali zenye utajiri mkubwa kama mafuta na gesi kwa kiasi kikubwa vinapatikana baharini waulize wavuvi watakwambia juu…
BIASHARA Cheza sloti ya Lucky Betting Shop, ushinde mamilioni muda huu March 12, 2025 Erasto Masalu Kucheza kasino sio lazima ufike kwenye maduka la kasino yaliyopo mtaani, Meridianbet imerahisisha kazi yako, kupitia kasino ya mtandaoni utapata wasaa wa kucheza michezo ya sloti na kasino kirahisi kabisa.…
BIASHARA HABARI MCHANGANYIKO NBC kushirikiana na H’shauri kudhibiti upotevu wa mapato, kuunga mkono agizo la Samia March 12, 2025 Erasto Masalu BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC) imesisitiza dhamira yake ya kushirikiana na halmashauri pamoja na mamlaka zote za tawala za mikoa na serikali za mitaa katika kuboresha ukusanyaji wa mapato…
HABARI ZA MICHEZO UEFA kukupatia mzigo mkubwa leo March 11, 2025 Erasto Masalu JUMANNE ya kutusua na wakali wa ubashiri imefika leo ambapo leo hii ligi ya mabingwa Ulaya mechi za marudiano zitapigwa leo huku wewe ukiwa na nafasi ya kuibuka bingwa. Mapema…
SIASA TANGULIZI ACT wagomea vikao vya baraza la Vyama vya Siasa March 11, 2025 Erasto Masalu CHAMA cha ACT Wazalendo kimeadhimia kutoshiriki vikao vya Baraza la Vyama vya Siasa kuanzia kikao cha tarehe 12 na 13 Machi, 2025 kwa sababu Baraza limepoteza uhalali baada ya kushindwa…