BIASHARA Siri iliyojicha, kasino inavyotoa utajiri kirahisi March 16, 2025 Erasto Masalu HISTORIA ya Kasino inaonesha kwamba, watu wengi wanaocheza kasino hushinda kuliko kushindwa, Meridianbet Kasino ya Mtandaoni ni chimbo la utajiri na kukamilisha ndoto za mtu yeyote. Kutana na mchezo wa…
BIASHARA Jinsi ya kupiga pesa ndefu kasino March 16, 2025 Erasto Masalu UNAJUA Kasino? Kuna mchezo unaitwa Super Heli na Aviator inafanya poa sana, lakini nikwambie tu Meridianbet Kasino ya Mtandaoni kuna sloti moja inatema hela kama mashine ya ATM. Jisajili Meridianbet…
BIASHARA Exim yaandaa futari Tanga, Zanzibar kuimarisha uhusiano wa kijamii March 15, 2025 Erasto Masalu BENKI ya Exim Tanzania imeandaa futari maalumTanga na Zanzibar, ikikusanya pamoja wateja wake, viongozi wa dini, na wadau wakuu kwajioni ya shukrani, mshikamano, na tafakari katika mwezi huu mtukufu wa…
HABARI ZA MICHEZO Meridianbet inakupa ODDS za kibabe leo March 15, 2025 Erasto Masalu Siku ya leo wakali wa ubashiri Tanzania, Meridianbet wanakupa nafasi ya kuondoka na kitita cha pesa kwa mechi zote zinazochezwa endapo utasuka kwa umakini jamvi lako la ushindi leo. Ingia…
HABARI ZA MICHEZO Chukua chako mapema na Meridianbet leo March 14, 2025 Erasto Masalu IJAMAA ndio hiyo imefika ya kuchukua maokoto yako ya maana na mabingwa wa odds kubwa Meridianbet leo kwani mechi kibao za pesa zitakuwa uwanjani hapo baadae kusaka pointi 3. Tukianza…
BIASHARA Casino Stud Poker karata zinakupa ushindi kirahisi March 14, 2025 Erasto Masalu JE, wewe ni bingwa wa kucheza karata na umeshindikana mtaani kwako, unahisi hakuna anayekuwezea? Huu hapa mchongo mpya wa kutengeneza pesa nyingi huku unaburudika na kucheza karata zako kwenye mchezo…
SIASA TANGULIZI OMO afunguka mazito waliyokutana nayo Angola March 14, 2025 Erasto Masalu MWENYEKITI wa Chama cha ACT-Wazalendo pia Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Othman Masoud Othman ‘OMO’, ameeleze adha walizopata wakati wamezuiliwa kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Luanda nchini…
HABARI MCHANGANYIKO Asilimia 80 ya Watanzania kutumia Nishati Safi ifikapo 2034 March 13, 2025 Erasto Masalu NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Doto Biteko amesema serikali yetu imepanga kuwafikia asilimia 80 ya Watanzania kwa kuwawezesha kutumia nishati safi ya kupikia ifikapo mwaka 2034. Anaripoti Mwandishi…
HABARI MCHANGANYIKO TBA warejea kazini kukamilisha nyumba 3,500 Dodoma March 13, 2025 Erasto Masalu WAKALA wa Majengo Tanzania (TBA) wameanza kutekeleza awamu ya pili ya mradi wa ujenzi wa nyumba 3,500 za Makazi ya Watumishi wa Umma eneo la Nzuguni ‘B’ jijiini Dodoma. Anaripoti…
BIASHARA Taasisi za dini zinazofanya biashara zatakiwa kulipa kodi March 13, 2025 Erasto Masalu TAASISI za kidini zinazofanya biashara badala ya kutoa huduma zinatakiwa kulipa kodi ya Serikali na si vinginevyo. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea) Hayo yamebainishwa jana na Kamishina wa TRA,…