HABARI MCHANGANYIKO NSSF kutoa mafao siku moja baada ya mwanachama kustaafu March 17, 2025 Erasto Masalu MFUKO wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii NSSF umesema umejipanga kutoa mafao kwa mstaafu siku moja baada ya kupewa barua yake ya kustaafu badala ya kusubili kulipwa mafao yake kwa…
BIASHARA VODACHAT: Zijue fursa za uwekezaji kidjitali March 17, 2025 Erasto Masalu KAMPUNI ya Vodacom Tanzania PLC kupitia jukwaa lake la VODACHAT imeendesha mjadala wa moja kwa moja kuhusu Fursa za Uwekezaji Katika Dunia ya Kidijitali, ukihusisha wataalam wa sekta ya uwekezaji…
BIASHARA ELIMU SBL yawawezesha wanawake, vijana wa Kanda ya Ziwa kupitia ‘Training for Life’ March 17, 2025 Erasto Masalu KAMPUNI ya Serengeti Breweries Limited (SBL) yaimarisha juhudi za maendeleo ya jamii kwa kuzindua mafunzo maalum kwa wanawake na vijana wanaojihusisha na biashara ya usambazaji wa vinywaji katika Kanda ya…
ELIMU HABARI MCHANGANYIKO Serikali kuwapa ulinzi wabunifu wa vifaa mbalimbali March 17, 2025 Erasto Masalu IMEELEZWA kuwa vijana wabunifu wanaoweza kutengeneza vifaa mbalimbali kama silaha au vifaa ambavyo vinaweza kuonekana kama hatarishi hawakamatwi na vyombo vya usalama bali wanalindwa na kuona ni namna gani vinaweza…
HABARI MCHANGANYIKO Hakuna sheria inayomkataza mwanamke kumiliki ardhi March 17, 2025 Erasto Masalu RAIS Samia Suluhu Hassan amesema hakuna sheria inayomkataza mwanamke kumiliki ardhi kwani naye ana haki ya kupata ardhi kama ilivyo kwa mtu yoyote yule kwa kuzingatia taratibu za nchi. Anaripoti…
HABARI MCHANGANYIKO Ndejembi apongeza mageuzi aliyofanya Rais Samia sekta ya ardhi March 17, 2025 Erasto Masalu WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Deogratius Ndejembi amesema serikali ya awamu ya sita imefanya mageuzi ambayo yalikuwa hayafanyiki katika sekta ya ardhi hapa nchini katika kipindi cha…
HABARI MCHANGANYIKO Kamati ya Bunge yaielekeza TAMISEMI kumamilisha miradi March 17, 2025 Erasto Masalu MWENYEKITI wa Kamati ya kudumu ya Bunge, Justin Nyamoga, ametoa wito kwa TAMISEMI kuhakikisha inafuatilia ukamilishwaji wa miundombinu ya maabara na vifaa vyake katika shule 26 maalum za Sayansi za…
ELIMU Kauli ya Waziri Mkuu ya kusoma Veta ina siri kubwa March 17, 2025 Erasto Masalu MKURUGENZI Mkuu wa Mamlaka ya Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA), Anthony Kasore, amesema VETA inawapa watu uwezo wa kufanya shughuli mbalimbali kwa vitendo hivo wanaotakiwa kupata ujuzi huu ni watu…
HABARI ZA MICHEZO Tandika jamvi lako na Meridianbet hapa March 16, 2025 Erasto Masalu Je unajua kuwa unaweza kumaliza Wikendi yako kirahisi sana ukiwa na Meridianbet kwani ODDS za maana zipo hapa. Timu kibao za ushindi zipo hapa leo. Leo hii pale EPL kuna…
BIASHARA HABARI MCHANGANYIKO Uongozi Mkoa wa Mwanza, wadau kuandaa futari kwa watoto yatima, RC Mtanda aipongeza NBC kwa ushirikiano March 16, 2025 Erasto Masalu MKUU wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda ameelezea dhamira ya uongozi wa mkoa huo kushirikiana na wadau mbalimbali ikiwemo benki ya Taifa ya Biashara (NBC), kuandaa hafla kubwa ya futari…