BIASHARA Mzigo mpya Meridianbet huu hapa BlackJack live inatoa mkwanja March 18, 2025 Erasto Masalu Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet inakuletea mchezo bomba wa Blackjack Live unaopatikana mubashara ukiwa umetengenezwa na watenganezaji maarufu wa michezo ya kasino, Expanse Studios. Blackjack Live ni mchezo wenye maudhui…
BIASHARA PUMA yawataka wakazi wa Dodoma kuchagua nishati safi kuchochea maendeleo March 18, 2025 Erasto Masalu KAMPUNI ya Puma Energy Tanzania imezindua PumaGas jijini Dodoma, hatua inayoonyesha dhamira yake katika kuhakikisha suluhisho la nishati nafuu na ya uhakika kwa matumizi ya nyumbani na kibiashara nchini Tanzania.…
HABARI MCHANGANYIKO Mbibo ahimiza maadili kwa watumishi wa Wizara Madini March 18, 2025 Erasto Masalu NAIBU Katibu Mkuu Wizara ya Madini, Msafiri Mbibo amewataka watendaji na watumishi wa Wizara ya Madini kuzingatia uadilifu na maadili katika utekelezaji wa majukumu yao. Anaripoti Apaikunda Mosha. Dodoma…(endelea). Ameyasema…
HABARI MCHANGANYIKO Aweso: Sitarajii watu kuunganishiwa maji ya Bangulo kijanjajanja March 18, 2025 Erasto Masalu WAZIRI wa Maji, Jumaa Aweso ameitaka Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) kuwaunganishia maji wananchi watakaonufaika na Mradi wa Maji wa Bangulo kwa ufanisi na…
HABARI MCHANGANYIKO Kamati ya Bunge yaitaka TAMISEMI kuchunguza mkandarasi wa mradi Tactic Kahama March 18, 2025 Erasto Masalu KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya TAMISEMI imeielekeza Ofisi ya Rais – TAMISEMI kupitia upya mkataba wa mkandarasi wa kigeni, Sichuan Road and Bridge Group Corporation, na kuchukua hatua za…
ELIMU Majaliwa: Ongezeko la bajeti ya Veta limefikia 57.4% March 18, 2025 Erasto Masalu WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amesema kuwa serikali kwa kutambua umuhimu wa VETA imeongeza bajeti katika sekta hiyo kwa asilimia 57.4, yaani kutoka Sh. 54 bilioni mwaka 2021 hadi kufikia kiasi…
BIASHARA Bulls Eye Bells inakupa bonasi na Jackpot kubwa March 17, 2025 Erasto Masalu Tunakuletea safari ya kasino mtandaoni ya kusisimua sana ambayo imejaa bonasi za kasini za kumwaga. Jukumu lako ni kukusanya ushindi kadri iwezekanavyo, na ukifanikiwa, hautakosa mafanikio ya ajabu. Jisajili hapa…
BIASHARA Malipo kwa njia 40 ndani ya Sloti ya Lucky Sevens kasino March 17, 2025 Erasto Masalu Iringa na Tanga Lushoto husifika kwa uzalishaji wa mtaunda kwa wingi hapa Tanznaia, je umewahi kujiuliza ni kwa kiasi gani kilimo cha matunda na biashara ya matunda ina faida kubwa…
BIASHARA Sloti ya Wild 81 malipo kwa njia 81 Meridianbet kasino March 17, 2025 Erasto Masalu Meridianbet kuna mchezo wa sloti wa kusisimua sana ambao utakufurahisha. tapenda kupata jokers na alama za siri kwenye safu kwani zinaweza kukuletea ushindi mkubwa. Ni wakati wa kuanza safari ya…
HABARI MCHANGANYIKO Bil 3.4 zatumika kulipa fidia wamiliki wa ardhi Dodoma March 17, 2025 Erasto Masalu MKUU wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule amesema serikali imetoa Sh. 3.4 bilioni kwa ajili ya kulipa fidia wananchi ambao walipisha miradi ya kimaendeleo inayotekelezwa kwenye ardhi walizokuwa wanazimiliki. Anaripoti…