HABARI MCHANGANYIKO Serikali yahimiza taasisi za fedha kutoa huduma kwa uwazi na usawa March 20, 2025 Erasto Masalu SERIKALI imezitaka Taasisi za Fedha nchini kufanya kazi kwa mujibu wa sheria, kanuni na taratibu bila kuwaumiza wananchi kwa kuhakikisha kuwa zinatoa huduma za kifedha kwa uwazi, haki na uwajibikaji.…
HABARI MCHANGANYIKO TAZARA sasa ipo chini ya usimamizi wa China March 20, 2025 Erasto Masalu MAMLAKA ya Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA) imetangaza kuwa Kampuni ya China Civil Engineering Construction Corporation (CCECC) itachukua usimamizi na uendeshaji wa reli hiyo kwa kipindi cha miaka 27…
HABARI ZA MICHEZO Mechi za Nations League kukutajirisha leo March 20, 2025 Erasto Masalu Alhamisi ya leo hii mechi kali za Mataifa kule Ulaya zinapigwa huku nafasi ya wewe kuondoka na zaidi ya Mamilioni ikiwa mikononi mwako. Chagua timu zako za ushindi na ubashiri…
HABARI MCHANGANYIKO MSD yaokoa Sh. 15.8 bilioni March 20, 2025 Erasto Masalu BOHARI kuu ya dawa MSD imesema kuwa kipindi cha Julai mwaka jana mpaka sasa imeokoa kiasi cha shilingi Bilion 15.8 kutokana na kubana matumizi yasiyokuwa ya lazima. Anaripoti Danson Kaijage,…
BIASHARA NBC yaandaa hafla ya futari kwa wateja wake Dar es Salaam March 20, 2025 Erasto Masalu MWANASHERIA Mkuu wa Serikali, Hamza Saidi Johari jana aliongoza mamia ya Waislamu ambao ni wateja wa benki ya Taifa ya Biashara (NBC) kwenye hafla fupi ya futari iliyoandaliwa na benki…
SIASA TANGULIZI Chadema kuanza kuwasha moto Jumapili hii March 19, 2025 Erasto Masalu NAIBU Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na maendeleo (CHADEMA), Amani Golugwa, amesema chake, kitaanza mikutano ya hadhara nchi nzima, kuanzia 23 Machi mwaka huu. Anaripoti Apaikunda Mosha, Dar es…
BIASHARA HABARI ZA MICHEZO Mashindano ya Gofu ya ‘NBC Waitara Trophy 2025’ yazinduliwa rasmi March 19, 2025 Erasto Masalu MASHINDANO ya Gofu ya ‘NBC Waitara Trophy’ 2025 yamezinduliwa rasmi leo jijini Dar es Salaam huku mdhamini Mkuu wa mashindano hayo Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) ikisisitiza dhamira yake…
BIASHARA Pirates Legacy kasino mtandaoni na Jackpot kubwa March 19, 2025 Erasto Masalu Ni siku nyingine tena njema na bora Zaidi ya kukufungulia dunia ya michongo, Leo nakupata siri kwenye mchezo wa kasino mtandaoni ya Meridianbet ambao hakuna mtu atakayebaki bila hisia ya…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA TANGULIZI Wassira amchongea Mo Dewji kwa serikali kwa kutelekeza mashamba ya Rungwe March 18, 2025 Erasto Masalu MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wassira ameitaka serikali kupitia Wizara ya Kilimo kuangalia uwezekano wa ardhi inayomilikiwa na mwekezaji Mohammed Enterprises Ltd wilayani Rungwe mkoani…
BIASHARA Mini Power Roulette ni ushindi March 18, 2025 Erasto Masalu Ukiwa na buku tu Meridianbet kasino ya mtandaoni inakuongezea mara dufu Zaidi, kupitia sloti ya Mini Power Roulette inakuhakikishia ushindi wad au lako mara 20,50 hadi 100 cha kufanya ingia…