BIASHARA Reflectors zatolewa kwa bodaboda March 22, 2025 Erasto Masalu IKIWA leo hii ni wikendi nzuri kabisa ya Jumamosi, wakali wa ubashiri Meridianbet imeamua kwafikia bodaboda wa Kariakoo na Fire kwaajili ya kutoa Reflectors zitakazowasaidia kwenye kazi zao. Jumamosi ya…
BIASHARA HABARI ZA MICHEZO NBC yakabidhi basi jipya kwa klabu ya Coastal Union FC ya Jijini Tanga March 22, 2025 Erasto Masalu BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC) ambae ni mdhamini Mkuu wa Ligi Kuu ya NBC imekabidhi basi jipya kwa Klabu ya soka ya Coastal Union FC ya jijini Tanga inayoshiriki…
HABARI MCHANGANYIKO Aweso aomba radhi watendaji wa Wizara ya Maji March 22, 2025 Erasto Masalu WAZIRI wa Maji Jumaa Aweso ameomba radhi kwa watendaji wa wizara ya maji na wote waliopoteza kazi kwa kuwa kuna wakati alikuwa mkali katika idara hiyo ili kuhakikisha wanafikia malengo.…
ELIMU HABARI MCHANGANYIKO Wanafunzi wahimizwa kulinda miundombinu ya shule March 22, 2025 Erasto Masalu WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amepongeza Serikali kujenga miundombinu bora katika shule za sayansi za wasichana, ahimiza wanafunzi kulinda miundombinu iliyowekwa ili iwe na tija. Anaripoti Apaikunda Mosha, Njombe … (endelea).…
HABARI MCHANGANYIKO NIT yajivunia uanzishwaji wa chuo cha marubani March 22, 2025 Erasto Masalu SERIKALI imejivunia hatua ya kukiwwezesha Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) kwa kukamilisha maandalizi ya utoaji wa mafunzo ya Urubani. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Majivuno hayo yanatokana na…
HABARI MCHANGANYIKO Asilimia 11 tu ya wanawake wamenufaika na TIB March 22, 2025 Erasto Masalu LICHA ya Benki ya Maendeleo (TIB) kuwekeza kiasi cha Sh. 630 bilioni kwa miaka minne ya uongozi wa Rais Samia Siluhu Hassan kwa ajili ya miradi mbalimbali ya maendeleo kupitia…
KIMATAIFA TANGULIZI Papa Francis kujifunza upya kuongea March 22, 2025 Erasto Masalu PAPA Francis (88) anaendelea kurejesha nguvu zake polepole hospitalini lakini analazimika “kujifunza tena kuzungumza” baada ya matumizi ya muda mrefu ya tiba ya oksijeni yenye mtiririko mkubwa, Kardinali Victor Manuel…
HABARI MCHANGANYIKO TANGULIZI Mchengerwa amuonya vikali Chalamila March 21, 2025 Erasto Masalu WAZIRI wa Ofisi ya Rais – TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa amemkemea vikali, ruhusa iliyotolewa na mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila katika kipindi cha muda mfupi, kuruhusu magari…
HABARI ZA MICHEZO ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1,000 yapo hapa March 21, 2025 Erasto Masalu Wikendi ndio hiyo imeanza leo na mabingwa wa odds kubwa Tanzania wanakwambia hivi nafasi ya wewe kuibuka na ushindi ikiwa kubwa pia. Tandika jamvi la ushindi hapa. Ethiopia atakuwa nyumbani…
BIASHARA Msimu wa Eid na Pasak: NBC yatoa punguzo la 20% kwa manunuzi March 21, 2025 Erasto Masalu KUELEKEA Msimu wa Sikuku za Eid na Pasaka, Benki ya Taifa ya Biashara (NBC ) imeingia makubaliano ya ushirikiano na Kampuni ya Hope Holding inayomiliki maduka ya Sketchers, Flormar, Bottega…