SIASA TANGULIZI Tundu Lissu atoa sababu za kutaka mabadiliko ya Uchaguzi March 24, 2025 Erasto Masalu MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu amesema chama kimekubaliana kuwepo mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi ili uchaguzi usimamiwe na watu waliohuru na sio waajiriwa wa serialikali…
HABARI ZA MICHEZO Tamasha la Uchaguzi Mkuu kuzunguka mikoa 26 March 24, 2025 Erasto Masalu TAMASHA la kuombea Uchaguzi Mkuu kufanyika mikoa 26 kuanzia jijini Dar es Salaam mwaka huu ambapo waimbaji mbalimbali wanatarajiwa kupamba tamasha hilo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea).…
SIASA Slaa: Watanzania msidanganyike na propaganda za kitoto March 24, 2025 Erasto Masalu KATIBU Mkuu wa zamani wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Wilbroad Slaa amewataka watanzania kuacha kudanganyika na propaganda za kitoto kuhusu kuhusishwa kwake kurejea CHADEMA ili kuwa mgombea urais.…
BIASHARA HABARI ZA MICHEZO NBC kutumia mchezo wa Gofu kuchochea ushirikiano wa kibiashara March 24, 2025 Erasto Masalu MASHINDANO ya Gofu ya ‘NBC Waitara Trophy 2025’ yamehitimishwa kwa mafanikio makubwa huku mdhamini mkuu wa mashindano hayo, benki ya NBC ikisisitiza dhamira yake ya kuendelea kushirikiana na wadau wa…
HABARI ZA MICHEZO Jumatatu ya kitajiri na Meridianbet hii hapa March 24, 2025 Erasto Masalu Baada ya wikendi kushuhudia timu kibao zikichuana vikali, leo hii pia baadhi ya mataifa yatakuwa dimbani kusaka tiketi ya kufuzu kombe la Dunia. ODDS KUBWA zipo Meridianbet. Ingia na ubashiri…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA Chadema kuwafungulia kesi Makalla, Gazeti la Habari Leo March 23, 2025 Erasto Masalu CHAMA Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimepanga kuwafungulia kesi Mahakamani, Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi wa CCM, Amos Makalla kuhusu kauli aliyoitoa ya kuwa Chadema wanatumia michango ya Tone…
SIASA TANGULIZI Dk. Slaa arejea Chadema, aomba msamaha March 23, 2025 Erasto Masalu Katibu wa zamani wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), na mgombea wa urais, Dk. Wilbrod Slaa amerejea rasmi ndani ya chama hicho hii leo baadaya miaka 10 na kupokelewa…
HABARI MCHANGANYIKO Wizara ya Maji na DAWASA wakabidhi JKCI hundi ya milioni 20 March 23, 2025 Erasto Masalu WIZARA ya Maji imeikabidhi Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), hundi la shilingi milioni 20 kwaajili ya matibabu kwa watoto wenye changamoto mbalimbali za magonjwa ya moyo. Anaripoti Mwandishi…
HABARI ZA MICHEZO Timu za kukupa pesa zipo Meridianbet leo March 23, 2025 Erasto Masalu Leo hii tena ni kimbunga ndani ya Meridianbet pesa kibao kumwagika leo kwani timu mbalimbali zinachuana vikali hapo baadae kwenye mechi za Mataifa. Nani kukupatia mkwanja leo?. Ingia Meridinabet na…
HABARI MCHANGANYIKO TMA JNIA yatoa elimu kwa wanafunzi kusherehekea Siku ya hali ya Hewa Duniani March 23, 2025 Erasto Masalu MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), kupitia Kituo cha Hali ya Hewa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), imeadhimisha Siku ya Hali ya Hewa Duniani kwa…