HABARI MCHANGANYIKO Tanesco yajivunia kudhibiti upotevu wa umeme March 26, 2025 Erasto Masalu SHIRIKA la Umeme Tanzania ( TANESCO) limesema kuwa kati ya mafanikio makubwa ambayo shirika hilo linajivunia kwa kipindi cha miaka 4 ya uongozo wa Rais Samia Hassan ni kudhibiti upotevu…
SIASA TANGULIZI Mwenezi Bawacha ashambuliwa mlinzi, Polisi wafunguka March 26, 2025 Erasto Masalu MWENEZI wa Baraza la Wanawake (BAWACHA) Taifa Sigrada Mligo ameripotiwa kujeruhiwa na mlinzi wa kikao cha ndani kilichokuwa kikiongozwa na viongozi wa CHADEMA Taifa wakiongozwa Kaimu Mwenyekiti wa chama hicho…
HABARI MCHANGANYIKO GF Automobile, NaCoNGO zasaini makubaliano ya kimkakati March 26, 2025 Erasto Masalu KAMPUNI ya GF Trucks kupitia kampuni ya GF Automobile imeingia makubaliano na Baraza la Taifa la Mashirika yasiyo ya kiserikali nchini (NaCoNGO ), yakilenga kunufaisha pande zote mbili katika nyanja…
SIASA TANGULIZI Hatua za msajili analenga kuinyamazisha ajenda ya Chadema March 25, 2025 Erasto Masalu KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Mnyika ameseme mbinu zinazotumiwa na msajili wa vyama vya siasa nchini ni kukitoa CHADEMA kwenye ajenda kuu ya Chama ya…
BIASHARA HABARI ZA MICHEZO NBC yashiriki uzinduzi uwanja mpya wa Singida Black Stars March 25, 2025 Erasto Masalu BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC), mdhamini mkuu wa Ligi Kuu ya NBC imeshiriki kikamilifu kwenye uzinduzi wa uwanja mpya wa Airtel Stadium wa klabu ya soka ya Singida Black…
HABARI MCHANGANYIKO WMA yajivunia kuongezeka kwa ajira nchini March 25, 2025 Erasto Masalu WAKALA wa Vipimo (WMA) imesema kuwa kati ya mafanikio makubwa na ya kihistoria kwa miaka 4 ya Uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassani tangu kuwepo kwa wakala hiyo ni kupata…
SIASA Askofu Mwamalanga akemea vikali kauli ya Makala March 25, 2025 Erasto Masalu ASKOFU William Mwamalanga na Mwenyekiti wa Kamati maalum ya Maaskofu na Masheikh, ambayo inashughulika na maswala ya Haki, Amani na Maadili kwa jamii amekemea vikali siasa ambazo zinachochea uvunjifu wa…
HABARI MCHANGANYIKO TCI yafungua ofisi Njombe, kuleta huduma za uwekezaji karibu March 25, 2025 Erasto Masalu WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji, Kitila Mkumbo, amtoa wito kwa taasisi za serikali kuweka vipaumbele katika kuboresha miundombinu hasa kwenye maeneo yenye vyanzo vya kiuchumi kama…
HABARI MCHANGANYIKO NEMC kupambana na magugu maji Ziwa Victoria March 25, 2025 Erasto Masalu BARAZA la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC), limesema kuwa limejipanga kuhakikisha linavuna magugu maji maji mapya katika ziwa Victoria. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Hayo yameelezwa…
HABARI ZA MICHEZO Suka jamvi lako na Meridianbet leo March 25, 2025 Erasto Masalu KAMA kawaida mechi za kufuzu Kombe la Dunia 2026 zinaendelea leo huku wewe ukiwa na nafasi ya kuchukua mshiko wa maana ndani ya wakali wa ubashiri Meridianbet. Ingia kwenye akaunti…