BIASHARA HABARI MCHANGANYIKO Serikali: Faida itokanayo na uwekezaji ifikie zaidi ya asilimia 10 March 29, 2025 Erasto Masalu SERIKALI inataka faida itokanayo na uwekezaji ‘return on investment’ katika kampuni ambazo inaumiliki wa hisa chache iongezeke kutoka asilimia saba ya sasa hadi kufikia zaidi ya 10 mwaka ujao wa…
HABARI ZA MICHEZO Tandika jamvi mechi za Ijumaa leo March 28, 2025 Erasto Masalu Ijumaa ndio hiyo imefika ya kuchukua maokoto yako ya maana na mabingwa wa odds kubwa Meridianbet leo kwani mechi kibao za pesa zitakuwa uwanjani hapo baadae kusaka pointi 3. Tukianza…
BIASHARA NBC yaitambulisha “NBC Shambani’’ kwa wakulima wa Songwe, Mbeya March 28, 2025 Erasto Masalu BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC), imetambulisha kampeni yake ya ‘Wekeza NBC Shambani Ushinde’ kwa wakulima wa mazao mballimbali ikiwemo Kahawa na ufuta kwenye mikoa ya Songwe na Mbeya ikiwa…
HABARI MCHANGANYIKO Shirika la Posta limezalisha hasara ya 23.63 bilioni kwa mwaka – CAG Kichere March 27, 2025 Erasto Masalu MKAGUZI na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere, ameeleza kuwa Shirika la Posta nchini (TPC), limepata hasara ya Sh. 23.63 bilioni, ikilinganishwa na hasara ya Sh. 1.34…
SIASA TANGULIZI Bawacha Nyasa: Siglada ni mtovu wa nidhamu March 27, 2025 Erasto Masalu MWENYEKITI wa Baraza la Wanawake la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAWACHA), Kanda ya Nyasa, Tabia Mwakikuti amesema, tukio la kushambuliwa kwa kiongozi wao, Siglada Mligo, limechochewa kisiasa. Anaripoti Mwandishi…
HABARI MCHANGANYIKO GST yaweka historia uongozi wa Samia Suluhu Hassan March 27, 2025 Erasto Masalu UONGOZI wake Rais Samia Suluhu Hassan kwa kipindi cha miaka 4 umeiwezesha Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania (GST) kufikia mafanikio takribani 12 jambo ambalo ni la kihistoria…
ELIMU HABARI MCHANGANYIKO Walimu 1,585 wapatiwa mafunzo ya Tehama na UCSAF March 27, 2025 Erasto Masalu KWA kipindi cha miaka 4 ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassani, walimu wapatao 1585 wamepatiwa mafunzo juu umuhimu wa matumizi ya TEHAMA. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Hayo…
BIASHARA HABARI MCHANGANYIKO Serikali yafikiria kutunga Sera ya uagizaji magari ili kulinda viwanda vya ndani March 27, 2025 Erasto Masalu WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo amesema kuna haja ya kurekebisha Sera katika sheria za uagizaji wa magari ili kulinda viwanda vya utendenezaji magari…
BIASHARA Maajabu ya sloti Fairy in Wonderland, ushindi upo huku March 27, 2025 Erasto Masalu Fairy in Wonderland ni mchezo wa sloti kutoka kasino ya mtandaoni inayotendeka katika msitu wa kusadikika, ambako kiumbe mzuri anaingia katika hekaheka na kukutana na Wonderland. Jisajili Meridianbet upige mamilioni…
BIASHARA Sloti ya Capital City Derby mamilioni yanakusubiri March 27, 2025 Erasto Masalu Jiandae kwa tukio la michezo la sloti linalokusudiwa kuwafurahisha mashabiki wote wa michezo ya kubahatisha ya kasino ya mtandaoni! Uwe shabiki wa timu yenye jezi nyekundu au nyeusi na nyeupe,…