HABARI MCHANGANYIKO TANGULIZI EWURA Yatangaza Bei za Mafuta kwa mwezi Aprili 2025 April 2, 2025 Erasto Masalu MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa nchini kwa mwezi Aprili, zitakazotumika kuanzia Jumatano, tarehe 02 Aprili…
HABARI MCHANGANYIKO Wanawake wasiojistiri vyema ni wachafu March 31, 2025 Erasto Masalu SHEIKH wa Mkoa wa Dodoma Alhaji Dk.Mustapha Shaban Rajabu amewakemea baadhi ya wanawake ambao wanajipamba kinyume cha maagizo ya Mungu na kuvaa nguo za kuonesha maumbile yao na kusema kuwa…
HABARI MCHANGANYIKO Waumini wa Dini ya Kiislamu wapewa mwongozo March 31, 2025 Erasto Masalu WAHUMINI wa Dini ya Kiislamu nchini wametakiwa kuhakikisha wanasimania misingi ya upendo,Amani na Ushirikiano sambamba na kusimamia amani ya nchi. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Hayo yameelezwa na Katibu…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA TANGULIZI Sheikh Ponda: Mifumo ya uchaguzi irekebishwe March 31, 2025 Erasto Masalu SHURA ya Maimamu Tanzania imetoa wito kwa Rais Samia Suluhu Hassan kukutana tena na wadau wa vyama vya siasa ili kufanya marekebisho ya mifumo ya uchaguzi kabla ya Uchaguzi Mkuu…
SIASA Chadema yatoa tamko kutekwa kwa Sigrada March 31, 2025 Erasto Masalu CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema kinaendelea kufuatilia kwa karibu juu ya tuhuma zinazosambazwa mitandaoni kuhusu madai ya kupigwa kwa Mratibu wa Uenezi wa Baraza la Wanawake wa CHADEMA…
BIASHARA HABARI MCHANGANYIKO Mo Dewji: Nikumbukwe kwa kubadili maisha si fedha March 31, 2025 Erasto Masalu MFANYABIASHARA Mohamed Dewji (MO), anayemiliki Kampuni ya Mohamed Enterprises Limited (MeTL), amesema anataka kukumbukwa kwa maisha aliyoyabadilisha kwa Watanzania na si kwa si kwa kiasi cha fedha anachokipata kupitia uwekezaji…
HABARI ZA MICHEZO Jumapili ya kitajiri na Meridianbet hii hapa March 30, 2025 Erasto Masalu WAJANJA wa odds kubwa Tanzania, Meridianbet wanakwambia hivi Jumapili ya leo ndio siku nzuri kwa wewe kuondoka na kitita cha pesa kwani mechi zipo nyingi zinazopigwa. Unangoja nini? Ingia Meridianbet…
BIASHARA Meridianbet yawafikia wanawake wajane Magomeni March 29, 2025 Erasto Masalu Katika kuendelea kutambua umuhimu wa jamii, Meridianbet leo hii iliamua kufunga safari na kuwatembelea wanawake wajane wanaopatikana mtaa wa Magomeni na kutoa msaada wa vyakula. Jumamosi ya leo katika jitihada…
HABARI MCHANGANYIKO Waziri Biteko ahimiza mabadiliko Jeshi la Magereza March 29, 2025 Erasto Masalu NAIBU Katibu Mkuu na Waziri wa Nishati, Dotto Biteko ametoa Wito kwa Wahitimu waliomaliza Kozi ya Uongozi wa ngazi ya juu, kutumia maarifa waliyopata kuboresha utendaji kazi, kudumisha nidhamu, sambamba…
SIASA TANGULIZI Wassira ataja Chanzo cha Deni la Sh. 97 Trilioni. March 29, 2025 Erasto Masalu MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira amesema deni lililopo la Sh. 97 trilioni sio kwamba lote limekopwa na Rais Samia bali limekuwepo tangu enzi za Rais wa…