HABARI MCHANGANYIKO SIASA Waziri Tabia ajilipua April 3, 2025 Erasto Masalu WAZIRI wa Habari Zanzibar, Tabia Maulid Mwita ameahidi sheria mpya ya huduma za habari itakuwa tayari wakati wowote. Anaripoti Jabir Idrissa, Zanzibar … (endelea). Akizungumza mbele ya Makamu wa Pili…
BIASHARA Karata moja inakupa ushindi x100 ya dau kwenye Blackjack April 3, 2025 Erasto Masalu Watengenezaji wa michezo ya kasino mtandaoni Expanse Studios, inakuletea mchezo rahisi kucheza na kushinda kupitia Meridianbet Kasino Mtandaoni, ukikutana na wachezaji wa Karata bila shaka watakutajia na huu mchezo kuwa…
SIASA Heche: Bila kufanya mabadiliko hatuwezi kushinda Uchaguzi April 3, 2025 Erasto Masalu MAKAMU Mwenyekiti Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, John Heche amesema vikao vya Chama hicho vinathibitisha bila kuwa na shaka, kwa mazingira ya sasa hawawezi kushinda uchaguzi hivyo ni…
BIASHARA NBC yaingia makubaliano na TAFINA kuchochea ukuaji wa teknlojia utoaji huduma za fedha April 3, 2025 Erasto Masalu BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC) imesaini makubaliano ya ushirikiano na Umoja wa Makampuni yanayotoa Huduma za Kifedha kupitia Teknolojia Tanzania (TAFINA) ikiwa ni muendelezo wa jitihada za benki hiyo…
BIASHARA Blackjack 2 mchezo wa karata wenye kukupa pesa nyingi April 3, 2025 Erasto Masalu Blackjack ni mchezo wa kadi/karata wenye kuvutia sana, na mtoa huduma Playtech anatuletea blackjack Live ya PTR Blackjack 2 kupitia Meridianbet kasino ya mtandaoni, ambao utakupendeza. Katika sehemu inayofuata ya…
SIASA TANGULIZI Katibu wa Sekretarieti ya Chadema atoa sababu za kuenguliwa April 3, 2025 Erasto Masalu ALIYEKUWA Katibu wa Sekretarieti ya Kamati Kuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Julius Mwita, amesema chuki, ubinafsi, visasi, hasira, uchungu na vinyongo ambavyo vipo kwenye uongozi wa sasa…
BIASHARA HABARI MCHANGANYIKO Exim yaboresha mikopo kwa Watumishi wa Umma kupitia ‘Utumishi Portal’ April 3, 2025 Erasto Masalu KATIKA hatua ya kimkakati kusaidia wafanyakazi wa serikali kufikia malengo yao ya kifedha, benki ya Exim Tanzania inajivunia kutangaza maboresho katika huduma yake ya “Wafanyakazi Loan,” ambayo sasa inajumuisha suluhisho…
BIASHARA Cheza The Tipsy Tourist kasino uwe milionea April 2, 2025 Erasto Masalu SAFARI za utalii huwa zinanoga sana haswa mnapokuwa na vibe la kutosha, Meridianbet inakupeleka kutalii ukiwa na waongozaji mahari kwenye mchezo wao mpya wa kasino ya mtandaoni wa utalii. The…
HABARI MCHANGANYIKO Silaa atema cheche chanzo cha hasara ya Bil 28 TTCL April 2, 2025 Erasto Masalu WAZIRI wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Silaa, amesema moja ya sababu zilizopelekea TTCL kuonesha hasara ni uhamishwaji wa Mkongo wa Taifa kutoka Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia…
HABARI ZA AFYA Wizara ya Afya kuchunguza sakata la mama kubadilishiwa mtoto April 2, 2025 Erasto Masalu WIZARA ya Afya kupitia kitengo cha mawasiliano serikalini imemsimamisha kazi muuguzi wa hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Arusha, aliyemhudumia Neema Kilugara aliyedai kubadilishiwa mtoto aliyejifungua hospitalini hapo. Anaripoti. Apaikunda…