BIASHARA HABARI MCHANGANYIKO TRA yawashukuru Wahariri kwa kuhamasisha ulipaji kodi April 6, 2025 Erasto Masalu MKURUGENZI wa Elimu kwa Mlipakodi na Mawasiliano wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Richard Kayombo, amewashukuru viongozi na wanachama wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) kwa kuwa sehemu muhimu ya…
HABARI MCHANGANYIKO TANGULIZI TEF yawarejesha tena Balile, Machumu April 5, 2025 Erasto Masalu HATIMAYE Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) imewarejesha madarakani aliyekuwa mwenyekiti wake Deodatus Balile na Bakari Machumu kuwa Makamu Mwenyekiti. Anaripoti Salehe Mohamed, Songea … (endelea). Wawili hao walichaguliwa bila kupingwa…
HABARI MCHANGANYIKO STAMICO kuendeleza leseni za uchimbaji dhahabu Kigosi April 5, 2025 Erasto Masalu MKURUGENZI Mtendaji wa Shirika la Madini la Taifa (STAMICO), Venance Mwasse, amebainisha kuwa shirika hilo lipo katika hatua nzuri ya kuendeleza leseni nane linazozimiliki katika Hifadhi ya Pori la Kigosi…
HABARI MCHANGANYIKO Rais Samia azindua Mahakama kubwa zaidi Barani Afrika jijini Dodoma April 5, 2025 Erasto Masalu RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemkabidhi funguo Jaji Mkuu wa Tanzania Ibrahim Hamis kama ishara ya ufunguzi wa majengo ya mahakama kubwa barani Afrika ya…
HABARI MCHANGANYIKO Mfumo wa ukataji wa tiketi SGR warejea kama kawaida April 5, 2025 Erasto Masalu SHIRIKA la Reli Tanzania (TRC) limetangaza kurejea kwa huduma ya ununuzi wa tiketi za treni kupitia mtandao baada ya kukabiliwa na hitilafu ya mfumo wa malipo ya Serikali, maarufu kama…
HABARI ZA MICHEZO Meridianbet kumwaga pesa Jumamosi ya leo April 5, 2025 Erasto Masalu Kama kawaida ni Jumamosi ya kwanza ya mwezi April ambapo inakuja na nafasi ya wewe kuchukua mkwanja wa maana. ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000 yapo hapa. Bashiri sasa…
BIASHARA Kasino ya Sticky 777 Faida x1000 kwa dau lako April 5, 2025 Erasto Masalu Moja kati ya biashara nzuri na yenye mtaji mdogo ni uuzaji wa matunda, huhitaji kuwa na mamilioni ufanye uwekezaji bali unahitaji akili tu ya namna ya kuweka dau lako. Meridianbet…
BIASHARA HABARI MCHANGANYIKO Puma Energy Tanzania yachangia mitungi ya gesi uzinduzi wa Mwenge Mkuranga April 5, 2025 Erasto Masalu PUMA Energy Tanzania imeshiriki katika shughuli za za Mbio za Mwenge wa Uhuru katika Wilaya ya Mkuranga, mkoa wa Pwani, ambazo ziliongozwa na Waziri wizara ya Ujenzi na Mbunge wa…
HABARI ZA MICHEZO Ijumaa ya leo itakuwa murua ukibashiri na Meridianbet April 4, 2025 Erasto Masalu Je unajua kuwa siku yako ya leo itaanza vizuri endapo utasuka jamvi lako na Meridianbet?. Timu kibao zipo uwanjani kusaka pointi 3 za kujiweka sawa, na wewe tafuta pesa uamke…
SIASA TANGULIZI Nchimbi: Chadema wasilazimishwe kushiriki uchaguzi 2025 April 4, 2025 Erasto Masalu KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Mchimbi, amewataka Watazania wasiwalazimishe wanachama na viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kushiriki uchaguzi mkuu wa mwaka huu. Anaripoti…