BIASHARA HABARI MCHANGANYIKO Majaliwa ataja ukuaji na mapato ya reli ya kati April 9, 2025 Erasto Masalu WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema kwanzia Agosti Mosi 2024 mpaka Februari 2025 kwenye huduma ya usafiri wa reli kati ya Dar es salaam –…
SIASA TANGULIZI Lissu: Namtumbo mnatakiwa kujua ni nani mnayetaka kumchagua April 9, 2025 Erasto Masalu MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Antiphas Lissu, amesema viongozi unaowapata na namna unavyowapata ndivyo utakavyovuna matokeo ya uongozi wao hivyo tusitegemee neema kama tutachagua viongozi wa…
BIASHARA Bonasi baab kubwa ukicheza kasino ya Chinese Tiger April 9, 2025 Erasto Masalu Meridianbet inakuletea mchezo wa kasino ya mtandaoni uliotengenezwa kwa mandhari ya Kichina, kama jina la sloti hii. Tiger wanajitokeza kama mandhari kuu ya sloti hii, na utataka kuwa na idadi…
HABARI ZA MICHEZO Nani kukupatia mkwanja mechi za UEFA leo? April 8, 2025 Erasto Masalu KAMA kawaida leo ni piga nikupige, pale Emirates kitawaka vilivyo yaani kila mtu anapigania pointi 3. Huku Bukayao Saka, kule Kylian Mbappe nani kuibeba timu yake?. Suka jamvi hapa na…
BIASHARA HABARI MCHANGANYIKO EFTA, GSM kuwakopesha vifaa wafanyabiashara wadogo na kati April 8, 2025 Erasto Masalu TAASISI ya kifedha ya EFTA na GSM zimeungana kwa kusaini mkataba wa makubaliano ya kuwakopesha wakulima na wafanyabiasha wadogo na kati kwa kuwawezesha kupata mikopo ya vitendea kazi kulingana na…
SIASA TANGULIZI Mchome amtaka Msajili kuharakisha majibu ya barua yake April 8, 2025 Erasto Masalu MWENYEKITI wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wa Wilaya ya Mwanga, Lembrus Mchome amemuomba Msajili wa Vyama vya Siasa kuharakisha muafaka wa malalamiko aliyowasilisha kuhusu Uchaguzi uliofanywa na Kamati…
HABARI ZA AFYA Serikali yawakumbuka wagonjwa figo April 8, 2025 Erasto Masalu NAIBU Waziri wa Afya, Godwin Mollel amesema, amesema serikali imeongeza vituo vya Dialysis katika hospitali 15 za rufaa za mikoa na hospitali zote za kanda hapa nchini ili kusogeza karibu…
BIASHARA Meridianbet yatangaza Mashindano ya “SmartSoft – Zungusha na Ushinde!” kwa Mwezi wa Aprili April 8, 2025 Erasto Masalu KAMPUNI ya Meridianbet imezindua rasmi mashindano mapya ya kasino mtandaoni yanayokwenda kwa jina la “SmartSoft – Zungusha na Ushinde!”. Promosheni hii maalum ya mwezi wa Aprili inalenga kuleta msisimko wa…
HABARI ZA MICHEZO Utajiri nje nje na Meridianbet leo April 6, 2025 Erasto Masalu Hatimaye baada ya jana kushuhudia mechi kibao zikipigwa na matokeo mengine yakiwa yakustaajibisha, leo hii ni zamu tena ya wababe wengine kibao uwanjai. Beti yako unampa nani akupe pesa? Tukianza…
BIASHARA HABARI MCHANGANYIKO PZG-PR yashinda tuzo ya ‘Best PR Agency 2024’ nchini Tanzania April 6, 2025 Erasto Masalu PZG-PR imetunukiwa tuzo ya ‘Best PR Agency 2024’ nchini Tanzania katika Tuzo za Umahiri wa Mawasiliano na Uhusiano wa Umma Mwaka 2024 zilizofanyika Jumamosi, 29 Machi 2025, ambazo zinazotolewa na…