HABARI MCHANGANYIKO SIASA Mahakama Bunda yamuachia Katibu Bavicha, wenzake 13 April 23, 2026 Fedrick Gama MAHAKAMA ya Wilaya ya Bunda imetoa uamuzi mdogo katika kesi ya jinai inayomkabili aliyekuwa Katibu Mkuu wa BAVICHA Taifa, Yohana Kaunya na wenzake 20, ambapo washtakiwa 14 wameachiwa huru baada…
SIASA TANGULIZI Watu 518 waliuawa 29 Oktoba April 23, 2026 Erasto Masalu TUME ya Rais ya Uchunguzi wa matukio ya 29 Oktoba mwaka jana, imedai kuwa takribani watu 518, waliuawa kwenye maandamano ya kupinga uchaguzi mkuu wa mwaka jana. Anaripoti Saed Kubenea,…
SIASA TANGULIZI Ripoti ya Tume yasubiriwa April 23, 2026 Erasto Masalu HATIMAYE macho na masikio ya Watanzania yanaelekezwa kwenye ripoti ya Tume ya Rais ya Uchunguzi wa mauaji ya 29 Oktoba mwaka jana. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea).…
SIASA TANGULIZI Polisi wamtaka kada wa wa Chadema kuwasilisha uhahidi ‘mauaji ya Lissu’ April 22, 2026 Erasto Masalu JESHI la Polisi nchini Tanzania, limesema linaendelea na uchunguzi wa kukusanya ushahidi kutokana na taarifa ya Hilda Newton, kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, anayedai kuwapo njama za kutaka…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA Kesi ya mgawanyo wa mali za Chadema kusikilizwa kesho kwa njia ya mtandao April 21, 2026 Fedrick Gama CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimetoa taarifa kuwa kesi ya madai inayowahusu Saidi Issa Mohammed pamoja na wenzake wawili dhidi ya Registered Trustees wa chama hicho na Katibu Mkuu…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA TANGULIZI Chadema yamshtaki Samia kwa wanawake viongozi wa Afrika April 20, 2026 Fedrick Gama MAPEMA leo 20 April 2026,uongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) umefanya kikao na ujumbe wa African Women Leaders Network uliokuwa ukiongozwa na aliyekuwa Rais wa Liberia, Ellen Johnson…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA Ripoti ya LHRC: Machafuko ya Oktaba 29 yametia doa April 20, 2026 Fedrick Gama KITUO cha sheria na haki za binadamu nchini (LHRC), kimesema machafuko yaliyotokea wakati wa uchaguzi mkuu wa 29 Oktaba 2026 na baada ya uchaguzi huo, yamelitia doa taifa kwenye uga…
SIASA TANGULIZI Lissu aja na masharti ya mazungumzo, ataja Katiba mpya, kufutwa kwa tume ya Uchaguzi April 17, 2026 Erasto Masalu TUNDU Lissu, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amemuambia mjumbe wa Jumuiya ya madola, Dk. Lazarus Chakwera kuwa ili Tanzania kupatikane maridhiano ya dhati inahitaji mabadiliko katika mifumo…
SIASA TANGULIZI Chadema kufanya mikutano ya hadhara nchi nzima April 16, 2026 Fedrick Gama MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, ameibuka na agizo jipya lenye uzito wa kisiasa, akiwataka wanachama na wafuasi wa chama hicho kuanza mara moja maandalizi ya…
KIMATAIFA SIASA Mpina akutana na Chakwera,aibua tuhuma dhidi ya uchaguzi April 16, 2026 Fedrick Gama LUHAGA Mpina aliyekuwa mgombea wa nafasi Urais kupitia Chama cha ACT Wazalendo katika Uchaguzi Mkuu uliopita wa 2025 amekutana na mjumbe wa Jumuiya ya Madola kuhusu mgogoro wa uchaguzi wa…