HABARI MCHANGANYIKO SIASA TANGULIZI Waziri Mkuu, Naibu Spika kuthibitishwa kesho bungeni November 12, 2025 Erasto Masalu SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mussa Azzan Zungu, ametangaza kuwa kesho tarehe 13 Novemba 2025, Bunge la 13 katika Mkutano wa Kwanza, Kikao cha Tatu, litakuwa…
SIASA TANGULIZI ACT Wazalendo Z’bar wataja sababu za kumsusia Mwinyi November 11, 2025 Erasto Masalu CHAMA cha ACT-Wazalendo visiwani Zanzibar kimesema Walisusia hafla ya ufunguzi wa Baraza wa Wawakilishi iliyofanyika jana, tarehe 10 Novemba, 2025 kwa kuwa hawakubaliani na matokeo yaliyompa ushindi Rais Dk. Hussein…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA Zungu Spika mpya wa Bunge November 11, 2025 Erasto Masalu MBUNGE wa Ilala (CCM), Mussa Azzan Zungu, amechaguliwa rasmi kuwa Spika mpya wa Bunge la Tanzania. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Zungu amepata kura 378, katika kura 383 zilipigwa.…
SIASA TANGULIZI Rais Samia awateua Gwajima, Dk. Bashiru kuwa wabunge November 10, 2025 Erasto Masalu SAMIA Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania ameteua wabunge sita kuwa wabunge la Jamhuri. Anaripoti Shamsa Haji, Dar es Salaam … (endelea). Rais Samia amefanya uteu huo…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA Chadema yalaani kukamatwa viongozi wake November 8, 2025 Erasto Masalu CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimelaani hatua ya vyombo vya dola kuwasaka na kuwakamata viongozi wake. Kinasema, kitendo hicho, kinalenga kukivuruga na kuvuruga uendeshaji na shughuli zake. Anaripoti Mwandishi…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA TANGULIZI Heche akimbizwa hospitali, Lema, Jacob wakamatwa November 8, 2025 Erasto Masalu MAKAMU mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Heche, amekimbizwa katika hospitali ya taifa ya Muhimbili, jijini Dar es Salaam, baada ya hali yake ya kiafya kuripotiwa kudorora.…
SIASA ACT yatia shaka kifo cha diwani wao aliyekuwa mahabusu November 6, 2025 Erasto Masalu MWENYEKITI wa Chama cha ACT-Wazalendo, mkoa wa Mara, Charles Mwera, ametia shaka juu ya kifo cha ghafla cha aliyekuwa mgombea udiwani wa Kata ya Sirari, wilaya ya Tarime, mkoani Mara…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA Hatutakubali kubezwa tena – OMO November 6, 2025 Erasto Masalu ALIYEKUWA mgombea urais Visiwani Zanzibar, Othman Masoud Othman (OMO), amewataka wafuasi wake, kupigania alichoita, “Zanzibar yenye heshima.” Anaripoti Mwandishi Wetu kutoka Pemba…(endelea). Amesema, “…sisi siyo watu wa kubezwa na hatutakubali…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA TANGULIZI Mawakili wa Heche walishtaki Jeshi la Polisi November 6, 2025 Erasto Masalu WAKILI wa John Heche Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Hekima Mwasipu, amesema kuwa wamefungua kesi Mahakama Kuu wakilishtaki Jeshi la Polisi kwa kumshikilia mteja wake (Heche)…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA CUF kuomboleza siku 30 waliouawa kwenye maandamano November 5, 2025 Erasto Masalu CHAMA cha Wananchi (CUF), kimeanza maombolezo ya kitaifa ya siku 30 kwa ajili ya watu waliouawa, kujeruhiwa na kupotea tarehe 29 Oktoba 2025,siku uliofanyika uchaguzi mkuu. Anaripoti Zakia Nanga, Dar…