HABARI MCHANGANYIKO SIASA TANGULIZI Lissu: Nitakuwa wa mwisho kutoka gerezani mpaka wote waachiliwe November 19, 2025 Erasto Masalu TUNDU Lissu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ambaye yupo katika gereza Kuu la Ukonga kama mshtakiwa wa tuhuma za uhaini katika mahakama kuu masjala ndogo ya Dar…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA Rais Samia aunda Tume ya kuchunguza matukio ya 29 Oktoba November 18, 2025 Erasto Masalu RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ameunda Tume Huru ya Uchunguzi itakayochunguza matukio yaliyotokea siku ya uchagazi mkuu tarehe 29 Oktoba yaliyoitwa na serikali matukio ya…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA TANGULIZI Maandamano ya Gen Z kuikosesha Tanzania mabilioni November 18, 2025 Erasto Masalu RAIS Samia Suluhu Hassani amesema kwa maandamano na vurugu zilizotokea tarehe 29 Oktoba 2025 siku ya Uchaguzi mkuu yameitia doa nchi na kuiweka Tanzania kwenye wakati mgumu ya kupata mabilioni…
HABARI MCHANGANYIKO KIMATAIFA SIASA TANGULIZI Shinikizo la kufanyika uchunguzi wa mauaji ya 29 Oktoba lashika kasi November 15, 2025 Erasto Masalu SERIKALI ya Ireland na Denmark, zimetaka kufanyika uchunguzi huru kuhusu kinachoitwa, “mauaji ya kiholela na ukiukaji wa haki za binadamu nchini Tanzania.” Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea).…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA TANGULIZI Samia atangaza msamaha kwa waandamanaji November 14, 2025 Erasto Masalu RAIS Samia Suluhu Hassan, ametangaza msamaha kwa vijana waliokamatwa, kufuatia maandamano ya siku tatu kuanzia siku ya uchaguzi mkuu wa 29, Oktoba. Anaripoti Saed Kubenea, Dar es Salaam … (endelea).…
SIASA TANGULIZI RAIS Samia ataja vigezo vya kumteua Mwigulu November 14, 2025 Erasto Masalu RAIS Samia Suluhu Hassan, amesema uteuzi wa Mwigulu Nchemba umepitia ushindani mkubwa na baada ya kuona vigezo alivyonavyo katika kuitumikia nchi hii na katika kuwatumikia wananchi wa jamhuri wa muungano…
SIASA Mwigulu kuapishwa kesho Ijumaa November 13, 2025 Erasto Masalu WAZIRI mkuu mpya wa Jamhuri ya Muungano, Mwigulu Nchemba, anatarajiwa kuapishwa kesho, saa saba mchana, Ikulu mjini Dodoma. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA TANGULIZI Tuache kiburi, tuliokoe taifa – Mwabukusi November 13, 2025 Erasto Masalu RAIS wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukusi, amewataka viongozi wa serikali kuacha kiburi, ili kuliokoa taifa. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). “Ni muhimu kwa watawala…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA TANGULIZI Ngoma bado mbichi, Lissu aibuka na pingamizi jipya November 12, 2025 Erasto Masalu TUNDU Lissu, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ameibua pingamizi la kupinga kutumika kwa sheria ya kuficha mashahidi kwenye shauri la uhaini linalomkabili katika Mahakama Kuu, masjala ndogo…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA TANGULIZI Lissu apinga shahidi wa siri kutoonekana na majaji November 12, 2025 Erasto Masalu TUNDU Lissu, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), anayeshtakiwa kwa tuhuma za uhaini kwenye Mahakama ya Kuu Masjala ndogo ya Dar es Salaam, amepinga namna ya utolewaji wa…