SIASA Trilioni 4.42 kujenga vituo 75 vya kupoza umeme August 5, 2024 Erasto Masalu Naibu Waziri Nishati, Judith Kapinga amesema Rais Samia Suluhu Hassan ameridhia wizara ya nishati kupitia Shirika la Umeme nchini (TANESCO) kujenga vituo 75 vya kupokea, kupoza na kusambaza umeme kwa…
SIASA TANGULIZI Rais Samia apata muarobaini migogoro ya wafugaji, wakulima August 4, 2024 Erasto Masalu RAIS Samia Suluhu Hassan amezindua Kampeni ya TUTUNZANE MVOMERO 2023-2028 wilayani Mvomero mkoani Morogoro inayohamasisha wafugaji kufanya ufugaji wa kisasa ikiwemo kuwa na maeneo yao ya kulima malisho ili kuondokana…
SIASA TANGULIZI Wananchi Morogoro: Hatuna deni na Rais Samia August 2, 2024 Erasto Masalu BAADHI ya wananchi wa Mkoa wa Morogoro, wamesema hawana deni na Rais Samia Suluhu Hassan, kwa kuwa ahadi nyingi alizotoa amezitekeleza. Anaripoti Mwandishi Wetu, Morogoro … (endelea). Maelezo hayo ya…
SIASA Kikwete: Samia amebeba mzigo mzito wa SGR July 30, 2024 Erasto Masalu RAIS mstaafu Jakaya Kikwete amesema amempongeza Rais Samia Suuhu Hassan kwa kubeba mzigo mzito katika kukamilisha mradi wa Reli ya Kisasa (SGR) kutoka Dar es Salaam hadi Dodoma, huku vipande…
SIASA TANGULIZI Kinana ajiuzulu Makamu Mwenyekiti CCM, Rais Samia aridhia July 30, 2024 Erasto Masalu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameridhia ombi la kujiuzulu nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM, Abdulrahman Kinana ambaye…
HABARI MCHANGANYIKO MAKALA & UCHAMBUZI SIASA Kampeni za urais TLS zashika kasi, mbivu, mbichi kujulikana Ijumaa hii July 29, 2024 Erasto Masalu KAMPENI za Uchaguzi Mkuu wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), ambao unatarajiwa kufanyika siku ya Ijumaa wiki hii zinaendelea kupamba moto kwa kila mgombea kunadi sera zake ili achaguliwe kuwa…
BIASHARA HABARI MCHANGANYIKO SIASA Mfanyabiashara akata rufaa mfanyakazi wa CRDB kuachiwa huru July 29, 2024 Erasto Masalu MFANYABIASHARA Deogratus Minja amewasilisha kusudio la kukata rufaa kupinga hukumu iliyotolewa na Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni, Dar es Salaam ya kumuachia huru mfanyakazi wa Benki ya CRDB, Ibrahim Masahi…
SIASA Rais Samia kuongoza mkutano wa 15 wa TNBC July 28, 2024 Erasto Masalu RAIS Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuongoza Mkutano wa 15 wa Baraza la Taifa la Biashara (TNBC) utakaofanyika Ikulu Jijini Dar es Salam kesho (Jumatatu). Akizungumzia mkutano huo muhimu wa baraza…
SIASA Spika Tulia amfunda Kombo jinsi ya kumsaidia Samia July 28, 2024 Erasto Masalu SPIKA wa Bunge na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Dk. Tulia Ackson amemtaka Mbunge mteule, Balozi Mahmoud Thabit Kombo kumsaidia Rais Samia Suluhu Hassan katika kuhakikisha wanaendeleza mahusiano…