HABARI MCHANGANYIKO SIASA TANGULIZI Mwabukusi alaani Heche kutuhumiwa kwa ugaidi November 5, 2025 Erasto Masalu RAIS wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS), wakili Boniface Mwabukusi, amelaani vikali hatua ya Jeshi la Polisi na kumkamata na kumfungulia jalada la tuhuma za ugaidi Makamu Mwenyekiti wa…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA Musiba akimbia siasa za upinzani, CCM November 5, 2025 Erasto Masalu MWANAHARAKATI huru, Cyprian Majura Musiba, ambaye miezi michache iliyopita alijiunga na chama cha ACT Wazalendo na kuwania ubunge wa jimbo la Mwibara, ametangaza kuachana na siasa. Anaripoti Joyce Ndeki, Dar…
SIASA TANGULIZI Wabunge wateule waitwa Bungeni Dodoma November 5, 2025 Erasto Masalu WABUNGE wateule wote wanafahamishwa kwamba shughuli za usajili na taratibu nyingine za kiutawala zitafanyika Ofisi ya Bunge Dodoma kuanzia tarehe 8 hadi 10 Novemba 2025, taarifa hiyo imetolewa na katibu…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA TANGULIZI Dk. Mpango amkabidhi Nchimbi ofisi leo November 4, 2025 Erasto Masalu MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi amempongeza na kumshukuru Makamu wa Rais Mstaafu Dk. Philip Mpango kwa mchango aliyoutoa wakati wa kumsaidia Rais…
SIASA Mamlaka za ulinzi chukueni hatua kuzuia njama za kuhujumu uchaguzi October 27, 2025 Erasto Masalu HUKU akijinasibu kuwa kimahesabu Chama cha ACT Wazalendo kitapata ushindi mkubwa usiowahi kutokea, Mwenyekiti wake, Othman Masoud Othman, ameasa mamlaka zinazohusika na jukumu la ulinzi na usalama kuchukua hatua madhubuti…
SIASA TANGULIZI Chadema yaja na orodha mpya ya waliotekwa October 27, 2025 Erasto Masalu CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimetangaza orodha ya majina ya watu 52 wakiwemo viongozi wa chama hicho, wafuasi na wanachama wake, walioripotiwa kutekwa katika kipindi cha mwezi mmoja. Anaripoti…
SIASA TANGULIZI Chadema yataka Heche achiwe huru October 25, 2025 Erasto Masalu CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimesema Makamu Mwenyekiti wake wa taifa, John Heche, anashikiliwa kwenye mahabusu ya Polisi, iliyopo Mtumba, mkoani Dodoma. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dares Salaam … (endelea).…
SIASA Hatuna mawakala, kura zitalindwa na INEC October 25, 2025 Erasto Masalu ZIKIWA zimebaki siku nne kufikia siku ya kupiga kura tarehe 29 Oktoba kwa ajili ya uchaguzi wa rais, wabunge na madiwani , baadhi ya vyama vya siasa vimesema kuwa havina…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA UDASA yageuka mbogo, yauvaa uongozi Chuo Kikuu cha Dar es Salaam October 24, 2025 Erasto Masalu JUMUIYA ya wasomi ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDASA), imeonya kuwa haitawavulia wanachama wake, wataokakwenda kinyume na jumuia hiyo. Anaripoti Faki Sosi, Dar es Salaam … (endelea). UDASA…
SIASA Wassira: Si haki kuzuia watu kwenda kupigakura October 24, 2025 Erasto Masalu MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema moja ya sharti la haki za binadamu ni kutowazuia wengine kupata haki yao ya kikatiba ikiwemo kupiga kura…