HABARI MCHANGANYIKO SIASA TANGULIZI Askofu Bagonza atoa somo kwa serikali October 24, 2025 Erasto Masalu ASKOFU Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Karagwe, Dk. Benson Bagonza, ameitaka serikali kuwaheshimu viongozi wa madhehebu ya kidini, ili waweze kuwa na sauti kwa…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA Chadema: Tushajua alipo Heche, polisi waujulishe umma October 24, 2025 Erasto Masalu JOHN Mnyika, Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amesema kuwa amedokezwa na mmoja wa maofisa wa Jeshi la Polisi kuwa John Heche, Makamu mwenyekiti wa Chama hicho…
SIASA Mahakama yakataa dhamana ya Lissu, Mwenyewe adai hakuna kesi October 24, 2025 Erasto Masalu MAHAKAMA Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam, imelikataa ombi la Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, kutaka apewe dhamana. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam ……
SIASA Serikali yajibu madai ya Lissu, sio Uchaguzi October 24, 2025 Erasto Masalu WAKATI Tundu Lissu, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), akidai kuwa kesi ya uhaini dhidi yake imefunguliwa kwa ajili ya uchaguzi. Serikali imekanusha madai hayo. Anaripoti Mwandishi Wetu,…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA TANGULIZI Utekaji umewaamsha wasomi wa UDASA October 23, 2025 Erasto Masalu WANAWAZUONI wa UDASA – Jumuiya ya wanataaluma wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam – wamelaani kushamiri kwa matukio ya watu kupotea au kudaiwa kutekwa, kikisema hali hiyo inatishia uhuru…
SIASA Wassira: Kataa kununua woga, kapige kura October 23, 2025 Erasto Masalu MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wassira amewataka Watanzania wakatae woga na wajitokeze kwa wingi kupiga kura katika uchaguzi mkuu utakaofanyika tarehe 29 Oktoba 2025. Anaripoti…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA TANGULIZI Lissu aibwaga tena serikali October 23, 2025 Erasto Masalu MAHAKAMA Kuu Masjala ndogo ya Dar es Salaam, imekubali pingamizi la Tundu Lissu, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), anayeshtakiwa katika mahakama hiyo kwa tuhuma za uhaini. Lissu…
SIASA TANGULIZI Lissu aweka pingamizi lingine, mahakama kutoa uamuzi kesho. October 22, 2025 Erasto Masalu MAHAKAMA kuu Masjala ndogo ya Dar es Salaam imeahirisha shauri la uhaini linalomkabili Mwenyekiyi wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (Cahdema) Tundu Lissu mpaka kesho tarehe 23 Oktoba 2025, kwa…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA TANGULIZI Lissu aibwaga tena serikali, Heche akamatwa October 22, 2025 Erasto Masalu MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, ameipigwa mweleka serikali, baada ya Mahakama Kuu, jijini Dar es Salaam, kuridhia pingamizi aliloweka dhidi ya shahidi wa Jamhuri. Anaripoti…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA TANGULIZI Lissu kucheka tena leo? October 21, 2025 Erasto Masalu MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema, Tundu Lissu, leo anaweza kuanza kuandika historia yake nyingine, wakati Mahakama Kuu, itakapotolea maamuzi pingamizi lake dhidi ya serikali. Anaripoti Saed Kubenea,…